Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kali,au ni wewe nini?unajua hicho chumba,kitanda,godoro nk kalipia nani?unajua shughuli ninazofanya na kipato changu?hiyn buku 5 kwangu ni milioni!inaniuma!c angeniomba?umeniboa,kama maisha yako yako juu pita hukoameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi
mkuu ananitegemea kwa kila kitu na anajua nahangaika vipiLeo na wewe msachi umuibie iwe moja moja.
Mnhhhhhhh
mkuu hiyo nakula wiki,dagaa za buku,unga kilo 2,mkaa wa buku,na chumvi,sina habari ya nyanya wala mafuta!penye njaa hapana amani!! 5000?you question?
leo!!!sasa umeibiwa buku tuu unalalamika, Je ukiibiwa Figo au Moyo utasemaje?
huyo ndo walewaleHarudii tena,safi sana miss wa kinyaru,,
umeona mkuu?Hafai huyo
Mkuu pole, inaonekana hata wewe utakuwa na njaa.
Chukua hizi hapa upunguze machungu, usilielie...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ameiba au amechukua? mwanaume mzima unakuja kulalamika humu eti umeibiwa buku 5! majanga! chumba atafute yeye, kodi alipe mwenyewe, kitanda anunue mwenyewe godoro na mashuka kanunua mwenyewe wewe unapeleka map.........bu yako tu na ka elfu 5 mfukoni! ila sikulaumu sana inawezekana wewe si mwanaume ila ni mtoto wa kiume. elfu tano unaanzisha uzi hapa! nimesikitika sana ungekuwa karibu ningekuzaba kofi
mkuu imeniuma sana ukizingatia nilimkuta kwenye mazingira magumu na nimemfikisha hapa alipo!ishu zangu mwenyewe za kuungaunga najibana ili yeye ale halafu anafanya hivi?bora peke yanguHuyu sio demu ni malaaya maana ndio huwa wanatabia ya kusachi
Chondechonde usije mfanya mama mtarajiwa utakuja juta, hiyo ilikuwa pati gazetiumeona mkuu?
hapana mkuu me namchunia tuMpeleke Polisi