Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

Mpelekee hizi 1397221186915.jpg
 
Tatizo tumevamiwa na watoto wakiume, ukiangalia kwa makini unaweza sema kizazi cha wanaume kimekaribia kuisha, wengi waliopo ni watoto wa kiume. Maana kila siku wanalalamika visivyolalamikiwa jamani, inasikitisha au ndo kizazi cha bongo fleva au JK
thanx n maisha mema kwako
 
Kama anachosema ni kweli wa moyo wake, basi hili ni tatizo kubwa na si vema kuuita ujinga. Kwa nini asingeomba? Pia tunasoma humu kila siku watu wakipost kuhusu akina dada na tabia ya kupenda pesa kulikopitiliza.
kupenda pesa ni matokea tu ya mfumo... ila kiukweli ajafanya vizuri
 
Mkuu elfu 5 tu fikiria ungefika gesti house 20 zingekutoka. Hapo msosi bado10000 bado asbhi chai 5000. Papucha bei iko juu Dom 20000 sasa hapo vitu vyote hivo umepata bure.acha usen gerema
 
Back
Top Bottom