Demu wangu kaniibia buku 5

mbona umempa nyingi wakati yeye kaibiwa/kapoteza 5,000/- tu?

Machungu yatapungua fasta mkuu.

Nimempatia na ya usumbufu wa hapa na pale afidie tax na mambo mengine madogo madogo.Si unajua bora njaa ya chakula kuliko pesa.
 

Aombe nini? si amechukua tu ni ya mpz wake, mbona yeye kapewa?angemuuliza tu halafu angekataa ingekuwa vibaya,ila amekosea kusachi, mpka mdada kafanya hivi ujue there is something wrong somewhere!!!! kwa mupenzi anayejali huna hata haja ya kufanya hayo sachi ya nini wakati ukikohoa tu unapewa??? kwanza wanazini wacha tu wakomoane!!!!
 

Umesahau na sabuni ya kufulia mashuka ananunua mwenyewe
 
Hilo ni tunda kutoka kwa mtoto wa kaskazini...

Ni PM tu.. usijali nitakujulisha kila kitu.

NB;
Nina mpango wa kwenda kuanzisha uzi kule jf photo, ni mpambanishe na huyo wako tuone yupi ni mrembo, unaniruhusu?
mwanangu mkareeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…