Demu wangu kaniibia buku 5

Issue ni kutoa taarifa sio kiwango wala sio pesa ni ya nani ? Unapochukua kitu bila kusema unaweza kusababisha lawama kwa watu wasio husika.., just imagine angekuwepo mtoto hapo au mfanyakazi wa ndani si angeweza kudhaniwa kwamba ndio mdokozi ?, au just imagine jamaa kaondoka asubuhi anapanda basi au anapata kifungua kinywa hotelini akidhani ana buku tano mfukoni kumbe kuna mtu ameshaidokoa ? Kuna ugumu gani kusema nipatie kiasi fulani cha pesa au ile pesa nimeichukua ?
 
Huyo ni wa kumuibia tu, na hapo kapata lesson lazma next time afiche chini ya p*mbu
 

Na weeee umezidi hata nyumbani haujatimba ukaenda kwake...
 

Umeshasema kakuibia kumbe huna uhakika
 
ulidhani utalala bure? Ndo kachukua kodi yake hivyo. Lol
 
hahahahahah aisee hii komedi si mchezo nimeikubali sana.
 
Kumbe ulilala ( kwake ) ?tena ulitakiwa ummpe kama 15 zingine ifike 20 ya chumba cha guest
Ambayo ume kwepa 30 zingine ya kumtumia usiku kucha. Yani kugegeda the whole nyt.
 
Nimekuwa kama samaki, kutaka nisivyoviweza, siku hizi ujanja ni kunywa mchuzi wa pweza, alafu MJINI msingi kiuno, kazi kwako kijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…