Demu wangu kaniibia buku 5

Demu wangu kaniibia buku 5

Ukitaka kuona vituko njoo usome JF. Buku 5. Tena unasema ilikuwa chenji ati ya Taxi wala sio Bodaboda. Ulienda na mikogo yoote hiyo baada ya 2 weeks hata andazi/mkate mkononi huna. Ukapata uwanja bure, magoli mfululizo kuonesha njaa yako ya 2 weeks. Halafu, ati asubuhi unasachi mifuko kuangalia akiba yako ya buku 5.
Nadhani mpaka unafika humu JF huenda ulirudishwa na Polisi kuwa huna ushahidi wowote. Na sisi walinzi wa usalama humu tunakuambia huna ushahidi bali ni UBAHILI wako unakusumbua. Hupati huruma hapa, nenda kamlipie hata kodi ya pango mwezi huu
Nimekusoma mangatara
 
acha wenge..... atakuibiaje wakati demu wako... na wewe umetoka safari....obvious anajua uko vizuri ki-wallet... kachukua tu hiyo sio kukuibia....
Wewe!kwanini asiombe?mbona mimi nilimuomba papuchi?just ustaarabu tu
 
haya mkuu... sasa muulize kwanini alichukua hela pasipo kuomba uone atasemaje
Tatizo ni kwamba ile pesa ilikuwa kwenye mfuko wa suruali,sasa yeye alitangulia kuamka kabla yangu,mimi kuamka nakuta hamna kitu!nitaanzaje kumuuliza?kuna mkuu humu alidai labda panya wamechukua!lakini kweli panya anaweza kuchomoa pesa kwenye kamfuko kadogo ka jinsi!!?
 
bora iwe ivyo kuliko kushtakiana kwa hela ya vocha...next time uone aibu, sisi wanaume kamili uwa hatudai vihela vya kitoto kama mambo ya kitoto uliyoleta, iyo ela uwa tunacha tipu kwa wahudumu, alaf uje kwa mtu aliyekuhifadhi ale elf5 uanze kulialia, acha utoto! mmezoea kulelewa sasa ulimkuta kiboko yako...next time uwe unaleta mambo ya maana aya waachie watoto wa primary...bogus! there is no free lunch in this world! tena uyo demu alikuhurumia ilibidi amuite mme wake akule maana umelala kwenye kitanda na mali ya mme mwingine,unataka kutumia vya wengine bure...iyo mali ni mme mwingine na ulitaka ulale bure...
Khaaaaaaaaa!!!!!
 
Kuna binti kila akija kwangu kuna kitu kinapungua. Na mwuuliza ancheka tu. Vitu vyenyewe mimi kidume kwenda kununua naona uvivu na wala sikumbuki. Sasa nimeona nimkaushie simkaribishi tena. Posha anapata na hasara aingize kha wizi ni nouma. Bado vsarafu vyangu ninavyo tupia kwenye kiglass anapita navyo!!? Inatosha sasa apite hivi
Mang'ana!
 
Back
Top Bottom