ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kijana kutoka Singida unalialia demu kukutukana na wwe mtukane tuWakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Afu braza tuheshimiane ID Hizi sio nafasi ya kutukanana . sio kwamba sijui matusiUnakosa 10000? Kweli wewe mseng*.
Mimi naona nisijiumize kichwa nikajaribu maisha na kwa mwanamke mwingine.wako wengi Sana hawa
NAJUA ndo maana na me mwenyewe imeni touch sana.sasa hivi nafikiria kumuacha kwa kuwa ubavu wa kumuacha ninao.Msenge maana yake wewe ni anti fulani,hivyo tu mkuu.
Mbinguni hakuna bia.
Afu braza tuheshimiane ID Hizi sio nafasi ya kutukanana . sio kwamba sijui matusi
Mimi niliona nimwombe msamaha.kwa hiyo nilibugi sanaKijana kutoka Singida unalialia demu kukutukana na wwe mtukane tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkonyo hoja...Ila ni mzuri SI masihara
BWANA mdogo.wanawake Wana receive hela wenyewe hawatoi.sasa mtu Kama umempenda Kwanini usimwagie hayo mapesa..tatizo limeanza kwa sababu Sina kituyani unamuomba msamaha kisa hauna pesa.!
aise mwanaume nimebaki mwenyewe.
For real??nilijua unaleta story tu,paka a girl anakwambia hivyo,means anakudharau sana mdogo wangu..chukua hatuaMimi niliona nimwombe msamaha.kwa hiyo nilibugi sanaView attachment 1050665
HunaNAJUA ndo maana na me mwenyewe imeni touch sana.sasa hivi nafikiria kumuacha kwa kuwa ubavu was kumuacha ninao.
Magufuli hatupi hela tuli enjoy enzi ya kikwete tu michongo hiyo