Demu wangu kanitukana

Demu wangu kanitukana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
 
Kijana kutoka Singida unalialia demu kukutukana na wwe mtukane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliona nimwombe msamaha.kwa hiyo nilibugi sana
Screenshot_20190321-203740~2.jpeg
 
yani unamuomba msamaha kisa hauna pesa.!
aise mwanaume nimebaki mwenyewe.
BWANA mdogo.wanawake Wana receive hela wenyewe hawatoi.sasa mtu Kama umempenda Kwanini usimwagie hayo mapesa..tatizo limeanza kwa sababu Sina kitu
 
Back
Top Bottom