ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.