Demu wangu kanitukana

Demu wangu kanitukana

Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Yaonekana umekasirika sana ila sisi watoto wa mjini matusi ni salamu sana sana mimi ningemrudisha kumtukana na nyongeza ningempa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Kwani siku hizi Lumumba hamlipwi?
 
Kuku wa kizungu hatari sana kwa afya na akili zetu.

"Stand for the truth always stand alone"

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Umeniangusha sana mkuu yaani umeombwa hela huna na bado umeomba msamaha wa kutokuwa nayo,?

Hakika nisipokuona mbinguni nitajua wamekuonea.

CC Zero IQ
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
We mshikaj c hua unachukua madem wa kwenye minada, kwa hiyo ndo wamekutukana , sawa tu maana us na Dem mmoja ww muache utafute mwingine wa mnadan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom