Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Yaonekana umekasirika sana ila sisi watoto wa mjini matusi ni salamu sana sana mimi ningemrudisha kumtukana na nyongeza ningempaWakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app