Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Kama ulikuwa unasikia mwanaume hana nguvu za kiume basi wewe ni huna ..zitafute nguvu za kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu basi uvumilie tu maana ukristo huendana na uvumilivu na upendo na misamahaMkuu mm nimelelewa mazingira ya kikristo situkanagi Sana na Niko mjini
Kwani hujui Kama Sisi ni watoto wa kizazi kipya?Nje ya maada kidogo hiv nyie Zero IQ ndege JOHN Viatu vya Samaki ni watoto wa baba mmoja?? Maaana hamshindwani kabisa
Sijui kabisa .. Akili zenu huwa za hapa na pale wakuuKwani hujui Kama Sisi ni watoto wa kizazi kipya?
Kuanzia Leo nakula kwa wingiKama ulikuwa unasikia mwanaume hana nguvu za kiume basi wewe ni huna ..zitafute nguvu za kiume
Sisi ndo ma CEO wa Jf..sisi ni warith yaan malengendary wa keshoSijui kabisa .. Akili zenu huwa za hapa na pale wakuu
Kosa lako ni kukosa 10,000/=Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Kuanzia Leo nakula kwa wingi
Matikitimaji
Juice ya tangawizi na limau
Vitunguu swaumu
Juice ya tende na maziwa
Maziwa mgando
Ugali dona na matembere
Karanga na parachichi
Samaki
Mayai ya kienyeji
Mlonge
Na mazoezi kwa Sana asubuhi na jioni
Mimi niliona nimwombe msamaha.kwa hiyo nilibugi sanaView attachment 1050665
Hahhahaha...Kakushika sio! Hahaha...Naunga mkonyo hoja...Ila ni mzuri SI masihara
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Unakosa 10000? Kweli wewe mseng*.
Achana naeHalafu niendelee naye au ndo nikimzarau unamaanisha nmpige chini
Mseng mwenyeweUache useng.e wa kuomba msamaha kwa kosa ambalo siyo lako?ndio maana kakuita hivyo kwa sababu anakuona mseng.e kwa usenge usenge wako unaofanya..msenge kweli wewe
Muache ukatafute pesa ili usitukanwe tena ukimpata mwingine,Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.