Demu wangu kanitukana

Demu wangu kanitukana

Kama ulikuwa unasikia mwanaume hana nguvu za kiume basi wewe ni huna ..zitafute nguvu za kiume
Kuanzia Leo nakula kwa wingi
Matikitimaji
Juice ya tangawizi na limau
Vitunguu swaumu
Juice ya tende na maziwa
Maziwa mgando
Ugali dona na matembere
Karanga na parachichi
Samaki
Mayai ya kienyeji
Mlonge
Na mazoezi kwa Sana asubuhi na jioni
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Kosa lako ni kukosa 10,000/=

Ungetembeza hata daftari na picha ya huyo demu uombe rambirambi ya kwenda kumzika, ungepata japo 50000 alafu unampelekea 10000 yake na 40000 iliyobaki unaizuiya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia Leo nakula kwa wingi
Matikitimaji
Juice ya tangawizi na limau
Vitunguu swaumu
Juice ya tende na maziwa
Maziwa mgando
Ugali dona na matembere
Karanga na parachichi
Samaki
Mayai ya kienyeji
Mlonge
Na mazoezi kwa Sana asubuhi na jioni

Tafuta na pesa ,kuwa na pesa ,utajikuta vyote hivyo ni part ya maisha
 
Aisee! huyo mwanamke alikua sahihi kabisa kukutukana, sijui tumeelewana wewe ndegee?
 
Wakuu samahani kwa kuwasumbua.demu wangu nilikuwa nimemkosea kidogo Leo mchana alitaka nimtumie 10000 na Mimi sikuwa nayo/Sina. Sasa nikawa nampigia simu nimuombe msamaha.akawa hapokei akaja akapokea Mara Moja akaniambia "msenge wewe"halafu akakata simu..Sasa naombeni mnishauri mwanamke Akikwambia kauli kama hiyo unaichukuliaje? anamaanisha Nini?hizi dharau na zenyewe mnataka tuendelee nazo kuvumilia mahusianoni?me namwacha tushashindwana tabia.
Muache ukatafute pesa ili usitukanwe tena ukimpata mwingine,
 
daaaaaaah nimeshindwa hata nikushauri nn...

kwa mm binafsi sidhani hata kama demu anaweza pata ujasiri wa kuniambia mm msenge

na kama ikitokea akanitukana hivyo sitamjibu wala nn ila ndio itakuwa byebye yani ni kama vile hatujawahi kujuana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom