Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Wadada wa kenya awana mvuton na ukikuta mwenye Mvuto basi ana roho mbaya na kajaa kisirani kama yule Amina wa Kiba.
 
Nilikaa Kenya mtaa mmoja unaitwa Runda nairobi kwa miez 6 tu. Ni mtaa wa matajiri na watoto ni geti Kali ila cha ajabu mtaa mzima sikuona mzuri , wanawapenda sana wanaume was tz unakula uku unafunga macho, ukipiga kimoja tu huna hamu yakuendelea . wakikuyu kidogo wako vizur .wanaokua wazur ni wasomali au half cast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona nimefungua biashara lakini ya bongo ni viraza utasikia asante kwa kunipendezesha umefanyaningare halafu hapo hapo inaomba Pesa ya usafiri. Midemu ya bongo kueni serious inamaana men wako akiwa hana hela basi nawe huna, 😕😕😧
Kwanza wewe mkenya wanawake wenu easy going kuliko WA Tanzania
 
Mademu wa Kenya sio wazuri sana ila ni watafutaji na hilo kwa dunia ya sasa ndio muhimu mademu wa bongo vilaza sana na mpa credit mtoa mada mbadilike Dada zetu
 
hawachi..unataka kunihakikishia km kenya mitaani hamna warembo...hhhh....unaongelea kenya kenya ipi wewe...hemu nijuze...manake mi mwnywe mkenya ila sijatembea mikoa yote ya kenya...ila nashangaa mtu km wewe uliokomaa dar na kuona hao wazaramo basi kwako ni wazuri kwako...anyway beauty lies in the eyes of the beholder...

alafu hao wa mtaani unaonieleza ni wale wacheza singeli wa dar au wale wa kagera...bado sijakuelewa vizuri...
 
Nilizunguka Kenya zima nimekutana na mrembo mmoja nae ni mchanganyiko Somalia na Kenya, Kuhusu Tanzania popote utakapo kanyaga Kuna warembo.
 
Nilizunguka Kenya zima nimekutana na mrembo mmoja nae ni mchanganyiko Somalia na Kenya, Kuhusu Tanzania popote utakapo kanyaga Kuna warembo.
maskini...hv unanihakikishia kagera pia kuna warembo....hhhhhh....
 
Kweli mademu wa Kenya except ya Mombasa sura kama baba zao
 
Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona nimefungua biashara lakini ya bongo ni viraza utasikia asante kwa kunipendezesha umefanyaningare halafu hapo hapo inaomba Pesa ya usafiri. Midemu ya bongo kueni serious inamaana men wako akiwa hana hela basi nawe huna, [emoji53][emoji53][emoji47]
Waambie waaaambie wakusikie wanaboa sana mi sikuhizi hata siwataki naona najibebea majukumu bila sababu bora niivest kwa wife wangu kwishaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izi nyuzi chonganishi siku zote nasema wakenya kuji fill proudly ndo zao kama dunia ya kwao mwanaume eti anasifia mabinti hao wote ni Black Africa the same colour,compare na white women.next time utaolewa [emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambia popote utakapo kanyaga Tz Kuna Wazuri na warembo
maskinini...naanza kushuku uwezo wako wa kufikiria....
"tanzania popote uendapo kuna warembo"walisikika walevi flani wakisema walipokuwa katika mkutano wa ccm wakipiga cha mtume
 
Back
Top Bottom