Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Mbona ume paniki. Amber rutty ni nani ?wala siishi dar mbona? Kiwanja kilisajiliwa mda na kimeshajengwa apartments njo upangishe.
Alafu Kenya hakuna watoto wazur kubali tu .
Wanawake wa Tanzania niwazuri ila ni udangaji ndo umezidi ila urembo wanao.
Kenya ukienda club unaweza kaa had asubuhi usione ucheze na nani maana wanawake nikama huwaoni. Na staili yao ya kucheza ni moja kenya nzima . kuna ma style kanaitwa "kanyaga lami" yaani kila MTU anacheza ivyo. No swag kwakweli.
Ila kwa akili za utaftaji wanawake wakenya ni wataftaji kuliko wa Tanzania . ila kwa Mimi kigezo cha kwanza sura pesa tutatafta tu ila amani ya nafsi yakuwa na unachotaka iyo haitafutwi.
I have balance the story. I don't argue no more .
Have a nice day vampire.
Sent using Jamii Forums mobile app