Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

mademu wabongo sio wote wazuri msitulishe matango pori hapa..na km mnamaanisha wale ma celeb wenu wa kike mtakuwa mnajidanganya...full make up na mawigi yani...
alafu sasa akili zao hazina akili...duh...mtu kama amber rutty kando kuuza uchi ana taaluma gani nyengine...yani wote ni low class bitches,tangu wema mpka chini...elimu huna sasa umekomalia kutiwa kisa ukiacha utasota ba kukosa bando la kuingia nalo insta....

angalia watu km akina betty kyalo,lilllian muli,lulu hassan,amina.....kando na social media ni wasomi na wana taaluma zao....
bongo kidogi yule mwenye naeza mfagilia ni kidoti...ni mwanamke na taaluma yake...hawazi fikiria chini kila wakati
Duh tunazungumzia kwa ujumla...Kenya hakuna mademu
 
Tukisema bongo wanawake wazuri sio wote bhana.Ebu nenda hapo iringa vijijini.Wanawake wote sura za baba zao,tako hakuna wote flat screen LG.Lakini ukienda town,kila mtu mzuri ukifika dar ama arusha ndo kabisa.
Kenya nimewai kaa pale mlolongo kwenye estate zao.walai hakuna mwanamke mzuri.walai wana sura ngumu kama reli za tazara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ukute demu ya Kenya inapenda Pesa mpaka inakomba yote hafu havai wigi wala kula bata kwa hela aliochukua kwa men wake, demu ya Kenya INA invest halafu inakuambia ona hela uliyinipa waona nimefungua biashara lakini ya bongo ni viraza utasikia asante kwa kunipendezesha umefanyaningare halafu hapo hapo inaomba Pesa ya usafiri. Midemu ya bongo kueni serious inamaana men wako akiwa hana hela basi nawe huna, 😕😕😧
Weka picha ya demu wa Kenya Tuilinganishe na ya Mbongo!!!!
 
Saikolojia inaonesha kuwa hii ishu mpaka imefunguliwa thread na kujadiliwa hivi, basi haya madai yana ukweli.

Dada zetu wa Kenya ni vibungo kweli kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saikolojia inaonesha kuwa hii ishu mpaka imefunguliwa thread na kujadiliwa hivi, basi haya madai yana ukweli.

Dada zetu wa Kenya ni vibungo kweli kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
duh...kumbe tena we mwnywe huna uhakika na unachokiandika hapa....duh..si jana tu ulisema ulizunguka kenya nzima vipi tena leo....

hahaaaaa...ulemavu wa akili katika ubora wake...vp...upo kijiweni sai
 
Miss-World-Kenya-Top-10-2.jpg
Miss-World-2017-Is...-Miss-India-Manushi-Chhilar-4.jpg
Nakumbuka mwaka uliopita kwenye Miss World mkenya alipoibuka namba nne duniani kwa urembo na pia akajishindia taji la Miss Afrika. Akawa ndio mwafrika pekee yake kwenye top 5 na top 10 pia. Povu lilitiririka humu kutoka kwa watani wetu hadi jukwaa likang'aa kweli kweli. 😀
 
c3aa1e8xaaaon9o-jpg.465354
Alafu baadaye kwenye Miss Universe mkenya mwingine akatinga ndani ya top 6 duniani na akashinda taji la Miss Afrika pia. Mwafrika mmoja tu ndani ya top 10, mkenya mwingine! Big up kwa kina dada wa Kenya, hakuna wengine kama nyinyi duniani. Beautiful, brainy, confident, innovative alafu huwa sio ma'victim' wa kulialia na kunung'unika.
 
Miss-World-Kenya-Top-10-2.jpg
Miss-World-2017-Is...-Miss-India-Manushi-Chhilar-4.jpg
Nakumbuka mwaka uliopita kwenye Miss World mkenya alipoibuka namba nne duniani kwa urembo na pia akajishindia taji la Miss Afrika. Akawa ndio mwafrika pekee yake kwenye top 5 na top 10 pia. Povu lilitiririka humu kutoka kwa watani wetu hadi jukwaa likang'aa kweli kweli. 😀
Haha.. huo Uzi uko wapi?
 
Tukisema bongo wanawake wazuri sio wote bhana.Ebu nenda hapo iringa vijijini.Wanawake wote sura za baba zao,tako hakuna wote flat screen LG.Lakini ukienda town,kila mtu mzuri ukifika dar ama arusha ndo kabisa.
Kenya nimewai kaa pale mlolongo kwenye estate zao.walai hakuna mwanamke mzuri.walai wana sura ngumu kama reli za tazara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Una dhambi ww 😂😂
 
images
2016 Miss World, mkenya mwingine ndani ya top 5, Evelyn Njambi. Man, Kenyan ladies have no chills whatsoever, hahaha! 😀 Awesome women! Hongera zao.
 
pingilinywee...mtanzania haez thubutu...unafikiria wenyewe wanataka make up na mawigi ya mtumba...huku makalio ya kichina...alafu tatizo ni pale kwa kujieleza...taaluma huna,au watasema taaluma zao ni za kuuza k....bwahaaaaa...

kenyan women's...wanajulikana..beauty with brains...mbongo haez hzo ligi...
 
Eti kuna mmoja alisafiri kuiwakilisha nchi yake ya Tz, baada ya kushinda umiss kati ya wanawake wengine wengi. Akavishwa akapandishwa kwenye ndege akiwa ameandamana na msururu wa wasindikizaji, yaani hapo hela tayari zimetumika nyingi. Alafu aliposimama mbele ya majaji Q&A, akaulizwa rais wa U.S.A ni nani, akashindwa kujibu. Hahaha! 😀 Classic!
 
Back
Top Bottom