Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

duh...kumbe tena we mwnywe huna uhakika na unachokiandika hapa....duh..si jana tu ulisema ulizunguka kenya nzima vipi tena leo....

hahaaaaa...ulemavu wa akili katika ubora wake...vp...upo kijiweni sai
Mkuu umemix mafaili. Angalia tena kama umemkoti mtu sahihi kabla sijakupeleka kwa pilato kudai faini.
 
Hawa watani wetu kwenye domo domo hakuna anayewaweza. Wakati Miss Kenya Evelyn Njambi alikuwa anafuzu kwenye Top 5 za Miss World 2016, huyu msukule Miss Tz 2016, jina sijui Diana ndio walikuwa wamempandisha kwenye pipa akaiwakilishe nchi yake. Mrembo zaidi ya wote Tz. Yaani hata kinyonga huwa habadilishi rangi kiasi hiki. Hahaha! 😀
 
Wauza k wakubwa ndomana wanaliwa ndogo sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuwaleteeni chakula+ tuwagonge dada zenu tuwachie mbegu hko

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuwaleteeni chakula+ tuwagonge dada zenu tuwachie mbegu hko

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

hamuez fikia hyo level...na mbna vyakula madukani vipo...bwahaaa...

midemu ya tanzania taaluma hawana...mtu hujui kingereza badala ujifunze simple tu...ukihojiwa unataka ku tweng km wamarekani...

mtakuja kuoa kenya sana...unafikiria karne hii nani anataka kuoa mtu amabaye ni kimelea..hta biashara hajui kuiendesha
 
duh...hii ni kali sana...hata raisi ya marekani hamjui
 
Soon namaliza mwaka Wa tatu university TZ nianze kumsaka mmasai Wa kenya..
Kenya girls ni watafutaji sana
I real lv them...
 
Msalimie akothee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…