Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Hahahaha wala niko kawaida mkuuHahaha inaonesha upo vizuri basi, hadi chalii ya mungiki ikakuganda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha wala niko kawaida mkuuHahaha inaonesha upo vizuri basi, hadi chalii ya mungiki ikakuganda!
Mnasemaga kwani, tugawane utamu basiiiHahahaha wala niko kawaida mkuu
Aisee sikutegemea ngoja niondoke eneo hiliMnasemaga kwani, tugawane utamu basiii
Utamu wa Yesu banaaa! We ukidhanishia nini?Aisee sikutegemea ngoja niondoke eneo hili
Yaishe mkuuUtamu wa Yesu banaaa! We ukidhanishia nini?
Haya mama wasalimie kigomaYaishe mkuu
Niko Tanga karibu tule ng'ogwe na mchungaHaya mama wasalimie kigoma
Asante, mchunga ulivyo mchungu unakulaje sasaNiko Tanga karibu tule ng'ogwe na mchunga
Ukijua kupika wala sio mchungu, unaosha na maji ya moto kabla hujaupika.Asante, mchunga ulivyo mchungu unakulaje sasa
Ile ladha ya kolokwini yote inaisha kabisa?Ukijua kupika wala sio mchungu, unaosha na maji ya moto kabla hujaupika.
Inakuwepo kwa mbali sana.Ile ladha ya kolokwini yote inaisha kabisa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wa Kikenya ni wazuri maajabu haya yaani sura hakuna hata shepu ni tudogo wawili watatu nilikuwa huko mwaka juzi aiseee nilipata tabu unakuta mwanamke anakushangaa.
Mamy usione naandika hivi kama utani ukifika Kenya kwanza utashangaa sura zao, kisha ukomavu wao zaidi ya chuma ukijiroga kuwa na mwanaume wa huko wanajua kuganda kama kupe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha kuna siku kwenye bus baba mmoja anasem awanawake wa Kenya sura ngumu alafu wamekomaa ila wanapenda nguo fupi basi wanakua kama kuni na hawavutii, ila wa Tz ni balaa kwa uzuri.
Kusema kweli wanawake wa TZ ni wazuri jamani.
Basi nabakia Bongo sihami mkwe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha kuna siku kwenye bus baba mmoja anasem awanawake wa Kenya sura ngumu alafu wamekomaa ila wanapenda nguo fupi basi wanakua kama kuni na hawavutii, ila wa Tz ni balaa kwa uzuri.
Kusema kweli wanawake wa TZ ni wazuri jamani.
Poa poa shost...naona unaua mbaya[emoji16][emoji16]Hahahaha mambo best
Mie nawafahamu vizuuuuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mamy usione naandika hivi kama utani ukifika Kenya kwanza utashangaa sura zao, kisha ukomavu wao zaidi ya chuma ukijiroga kuwa na mwanaume wa huko wanajua kuganda kama kupe.
Uhame wakati binti yangu anakusubiri[emoji123]Basi nabakia Bongo sihami mkwe!
Yani kazana kumlisha ndizi awe vizuri zaidiUhame wakati binti yangu anakusubiri[emoji123]
Hahahaha
Sasa hivi umeshasahau?? 😂😂 aisee!heheeee...nlikuwa nam reply nani hyo post...woooiii...then we huez shindana na mimi kiswahili . kiswahili chako bado sana.. labda uniletee ndugu zako wa zanzibar