He yameshafikia huku makubwa haya
Unaleta uchizi mambo leo ee...,,!!!huzijui taratibu za kufuata!??
Hakuna cha kusema Arushaone ni wewe mwenyewe hapo
HAhahahahah Baba V wacha ukali bana mwenyekiti anapasw akuwaelimisha wajumbe wake namna ya kurasimisha ndoa
hebu fanya mchakato wa kuitangaza ndoa yangu mapema ishafungwa lakini na kwa sasa mimi na Mamndenyi tunakula honeymoon yetu
Oppps sikujua sorry dear Dena Amsi
Ila si unaona Arushaone anatangaza ndoa mapema aise
Hebu wasiliana na kamati ya sheria ya akina Judgement, Ruttashobolwa na Kipipi muone kama mna legitimacy ya kufunga ndoa, wakijiridhisha hao watanipa go ahead..
Kashfwaaa...
Kakuharibia ili afaidi??
Baba V mpaka na mimi aiseUkimkamata unialike na mie aisee, nina vihasira kama kilo mbili na uzushi wake huyu dogo
Kashfwaaa...
Kakuharibia ili afaidi??
Kashfwaaa...
Kakuharibia ili afaidi??