Afu wewe... , ohoo..., ninakupeni siku tano na Zion Daughter muwe mmewasilisha taarifa za uhusiano wenu kwangu.
Copy: watu8, gfsonwin (kwa ufuatiliaji just in case nitakuwa nimeenda ban).
Chairman!Hebu wasiliana na kamati ya sheria ya akina Judgement, Ruttashobolwa na Kipipi muone kama mna legitimacy ya kufunga ndoa, wakijiridhisha hao watanipa go ahead..
Mkuu Arushaone kama unadhani ulipokua unatafuta Mayai ya Bundi kwa gharama yeyote ya kutumaliza mimi na my lav YNNAH ni siri, basi unajidanganya!
Habari zako zote tunazo.
Ukiwa kwa mtaalamu ukiomba eti "Mtungi wangu usiweze kupanda Jogoo!"
Umebainika wewe na Joseph Ludovick wako aliekusindikiza Handeni.
Na ukizidi ntaianika clip kwa Yu-tyupu, ukiwa unafukia vitu usiku nje ya nyumba yangu.
Mkuu pgia mstari jibu sahihi hilo
Afu wewe... , ohoo..., ninakupeni siku tano na Zion Daughter muwe mmewasilisha taarifa za uhusiano wenu kwangu.
Copy: watu8, gfsonwin (kwa ufuatiliaji just in case nitakuwa nimeenda ban)
Hahaha naona ndugu mwenyekiti unajihami kabisaaaa
Mpenzi si umwambie tu kuwa wakesha na mumeo, akiona taa imezimwa ndio ajue tumelala