Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

images.jpg

for you Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kweli wewe ni zaidi ya mpenzi,
sijui nitumie neno gani ili lionyeshe moyo wa shukrani zangu kwako,
wewe ni zaidi ya mpenzi, ooooh, dah,
Nakupenda sana. Mr Rocky nakupenda.
 
Last edited by a moderator:
Judgment we endeleeni kusubiri
Tulifunga ndoa ya kiserikali na Mamndenyi tukirudi tutawaambia nyie wanakamati tukafunge ya mimbarani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone kama unadhani ulipokua unatafuta Mayai ya Bundi kwa gharama yeyote ya kutumaliza mimi na my lav YNNAH ni siri, basi unajidanganya!
Habari zako zote tunazo.
Ukiwa kwa mtaalamu ukiomba eti "Mtungi wangu usiweze kupanda Jogoo!"
Umebainika wewe na Joseph Ludovick wako aliekusindikiza Handeni.
Na ukizidi ntaianika clip kwa Yu-tyupu, ukiwa unafukia vitu usiku nje ya nyumba yangu.

Duh!!!!! yani Arushaone amefikia huko........!!!!!!!!!! inasikitisha sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom