Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Itifaki inazngatiwa. Tayari nimezaa na mwanao mkubwa

Hata Vin Diesel alikuja kama wewe....hahahah, mie nikamlengesha apatane na CL lakini wakashindwa patana, nawe nakulengesha uende kwa sweetlady, akikukubali basi heri na asipokukubali pia heri, baba mtu sina ushawishi wowote kwa maamuzi yao
 
Last edited by a moderator:
Baba V ingilia kati ndoa yangu,maana hata tendo la ndoa nanyimwa,nikimpapasa wyf napigwa kipepsi,,tunalala mzungu wa nne? Halafu analala na jeans tyt?

Nitakuwa mtu wa mwisho kabisa kufanya lolote kunusuru ndoa yako na Madame B, uliyoyatenda mwilini ni lazma uyapate rohoni
 
Last edited by a moderator:
Shemeji dena amsi,nini hii?
 
Last edited by a moderator:
Nimeustady huu uzi nachokiona ni kama vile wachawi watakutana makaburini na ndo itakuwa mwanzo wa kupeana intro kua wote ni wanakamati !
 
Nimeustady huu uzi . . . kama vile wachawi watakutana makaburini na ndo itakuwa mwanzo wa kupeana intro kua wote ni wanakamati !

Aisifue mvua imemnyea Judgement! Hayo ya kamati za uchawi wayajua tangu lini mkuu??
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti kuna ukweli hapa kuwa Arushaone anakula vibudu!!!!!!!!!!!!??????????????????????????????????????

Satisfy your soul by uploading our picture! Mwakalia majungu 24/7? Y-A-T-A-W-A-S-H-I-N-D-A !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…