Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

watu8 napata mashaka na wewe kama hukuwa kwenye race za kumpata Mamndenyi sasa amekuponyoka naona unaleta maneno miiingi kama treni ya kigoma Mamndenyi humpati tena shakuwa wangu hapa wewe may be hangaika na Dena Amsi au Madame B aliyetemwa na Chimbuvu nahapo ujue Arushaone anamtaka Dena Amsi kwa njia yoyote na Erickb52 na Mungi na Baba V wako kwenye msafara huo huo wa kumpenda Dena Amsi
So kama unauweza mpambano ingia huko watu8

Nakaribia kutoa tamko thabiti juu ya mustakabali wa hiyo unayoiita ndoa yenu
 
Last edited by a moderator:
Aisifue mvua imemnyea Judgement! Hayo ya kamati za uchawi wayajua tangu lini mkuu??

Mkuu Arushaone kama unadhani ulipokua unatafuta Mayai ya Bundi kwa gharama yeyote ya kutumaliza mimi na my lav YNNAH ni siri, basi unajidanganya!
Habari zako zote tunazo.
Ukiwa kwa mtaalamu ukiomba eti "Mtungi wangu usiweze kupanda Jogoo!"
Umebainika wewe na Joseph Ludovick wako aliekusindikiza Handeni.
Na ukizidi ntaianika clip kwa Yu-tyupu, ukiwa unafukia vitu usiku nje ya nyumba yangu.
 
Last edited by a moderator:
Kweli umepinda ndugu umejimilikisha jumla jumla kiulaiini mwenyewe salama kaka???

Anacheza kweli yaani..., yeye akiona vyaelea anadhani ni mitumbwi....., itakula kwake
 
Back
Top Bottom