Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Mkuu mimi ndiye Makamu Mwenyekiti wa Ndoa hapa Chit Chat....sasa naomba ujipime yale maneno yako ya mwanzo kuwa mie ndio niliidhinisha.

watu8 napata mashaka na wewe kama hukuwa kwenye race za kumpata Mamndenyi sasa amekuponyoka naona unaleta maneno miiingi kama treni ya kigoma Mamndenyi humpati tena shakuwa wangu hapa wewe may be hangaika na Dena Amsi au Madame B aliyetemwa na Chimbuvu nahapo ujue Arushaone anamtaka Dena Amsi kwa njia yoyote na Erickb52 na Mungi na Baba V wako kwenye msafara huo huo wa kumpenda Dena Amsi
So kama unauweza mpambano ingia huko watu8
 
Mkuu mimi ndiye Makamu Mwenyekiti wa Ndoa hapa Chit Chat....sasa naomba ujipime yale maneno yako ya mwanzo kuwa mie ndio niliidhinisha.

Sasa watu8 mawasiliano yote yalipita kwako na uliona malovi davi yakiwa yanaendelea we mpaka umeona manyonya hujajua tuu kuwa kuku kashaliwa
Au mpaka uone na mfupa wa huyo kuku
 
Last edited by a moderator:
Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana

My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa

Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR

Mh!! hivi hapa nani bachela? by the way mbona huyu mama yangu Mamndenyi hakuniambia? ni kweli kuwa Mr Rocky unalelewa?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hatimaye umegundua wapi iko na mushkeli eenh...haya bwana mapenzi mema na mkeo mpya

Sasa watu8 mawasiliano yote yalipita kwako na uliona malovi davi yakiwa yanaendelea we mpaka umeona manyonya hujajua tuu kuwa kuku kashaliwa
Au mpaka uone na mfupa wa huyo kuku
 
Mh!! hivi hapa nani bachela? by the way mbona huyu mama yangu Mamndenyi hakuniambia? ni kweli kuwa Mr Rocky unalelewa?
Lucas hayo mambo ya kulelewa unayajua wewe ila mimi najua mimi na Mamndenyi nifamily moja na tunapendana mengine yaache yakae kama yalivyo
Ndo unapewa taarifa hivyo aise

Hahaha hatimaye umegundua wapi iko na mushkeli eenh...haya bwana mapenzi mema na mkeo mpya
watu8 afadhali umekubali bana achana na akina Baba V sijui erickb52 na mwenzake Mungi
 
Kiongozi wangu Baba V hii habari ni njema sana. kwanza nilikuwa najiuliza imekuwaje mpaka dadangu Dena Amsi akaangukia kwa sharobaro Mr Rocky sikupata jibu. kinachomponza Mr Rocky ni tabia yake ya kuwakwarua wanakwaya wenzake. yaan mwanakwaya ambaye hajarushiwa neno na Mr Rocky nakuambia lazima akaoge na chumvi au aende kwa babu.
Hongera Dena Amsi kwa uamuzi mzuri. Nipo kwenye mchakato wa kumkomboa Mamndenyi kutoka kwenye mikono ya sharo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom