sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Mie ntakuja jumamosi kumuogesha mtoto na kupika
Mtori
Waiting with a big smile lol........
Hii ndio raha ya kuwa na mke mwenza mwenye mapendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ntakuja jumamosi kumuogesha mtoto na kupika
Mtori
Asante Chair kwa kunitolea taarifa hii.
Mr Rocky ......!Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana
My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa
Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR
hapy valentine day and new year kwani kitambo..
Heeeeeeee!!!!!....... Wewe mbona unajimilikisha kirahisi hivyo????
Ha ha ha ha mweeehhh
aaahhhhhaaaaaaaaa! .....................sasa subiri kidogo utayajua wala usiende mbali.Ndo maana nimehitaji maelezo ili niyajue
mwenyekiti humu kuna mambo mengiii yameendelea humu sijui unayajua??
si kweli