Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Mr Rocky
tumblr_m6uo7aYjsn1r2o9j8o1_500.jpg
 
Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana

My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa

Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR
Mr Rocky ......!
 
Last edited by a moderator:
Tanzaniaaa eenh,Tanzania eee... !Mwanangu kuwa uyaone!@cc:Roma Mkatoliki
 
Hahahah...ngoja niulize kaswa kadogo ka nyongeza ka kiutawala zaidi, Cheti cha ndoa nani aliyewapa?

watu8 hivi nikitaka kuoa lazima niutangazie umma wakati mimi na wife wangu Mamndenyi ndo tunaamua
Tumewatangazia sasa kuwa mimi na Mamndenyi tuko honeymoon huku mauritius tunakula raha aise
Tukimaliza tunakuja bongo Serengeti mbugani then Ruaha na then huko mashariki ya mbali kula raha
 
Back
Top Bottom