Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,540
Habari zenu wadau, leo asubuhi nimepata ujumbe kutoka kwa mdau Dena Amsi akinipa taarifa kuwa ameamua kuachana na Mr Rocky kutokana na tabia za Mr Rocky za kubeba beba wanawake kumchosha. Sehemu ya ujumbe huo ilisema hivi, Nanukuu "Mwenyekiti nimefikia hatua ya kuachana na mume wangu Mr Rocky baada ya kumvumilia kwa muda mrefu nikidhani kuwa angebadilika lakini nimegundua kuwa tabia ni kama ngozi huwezi kuibadili, hivyo nimeamua kujiweka pembeni aendelee na mambo yake kwa uhuru". Mwisho wa kunukuu, Kwa mujibu wa ujumbe huo ni kuwa hadi sasa Dena Amsi amekata kamba kwa Mr Rocky. Juhudi zangu kumtafuta Mr Rocky ili aelezee jambo hili zimegonga mwamba baada ya simu yake kuita muda wote bila majibu na baadae ikapokelewa na Mamndenyi ambaye baada ya kumwambia kuwa nilitaka kuongea na Mr Rocky kuhusu habari yake na Dena Amsi alinijibu kuwa Mr Rocky yuko nje ya nchi kwa mapumziko afu akasonya na kukata simu. Nimeamua kuileta hapa ili Mr Rocky aje alizungumzie hili.

Copy: Arushaone Nicas Mtei, Sefeti Erickb52, Mungi, Filipo et al.
Wasalaam Baba V.
 
Last edited by a moderator:
Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana

My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa

Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR
 
Nyambaaf sana dogo, awali ya yote hiyo ndoa yenu aliiidhinisha nani!?
 
Baba V tabia yako ya kwenda jela kila siku utakuta mpaka Mama v nae kashaolewa na mwingine maana sheria inasema kama mume akipelekwa lupango kwa muda mrefu mke anaruhusiwa kuolewa we endelea kuchezea lupango uone rangi kama hata na Mama v hutamkosa
Ndoa aliidhinisha makamu wako wa mwenyekiti baraka zako kwanza tulikuwa hatuzihitaji tulishapata za makamu wa mwenyekiti na ndoa hii ni halali wacha tule raha na Mamndenyi hapa
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nilitaka kuuliza swali hilo hilo...!!!:A S 39:
watu8 hivi nikitaka kuoa lazima niutangazie umma wakati mimi na wife wangu Mamndenyi ndo tunaamua
Tumewatangazia sasa kuwa mimi na Mamndenyi tuko honeymoon huku mauritius tunakula raha aise
Tukimaliza tunakuja bongo Serengeti mbugani then Ruaha na then huko mashariki ya mbali kula raha
 
Last edited by a moderator:
Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana

My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa

Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR

Ha ha ha wajameni hii nayo kali sana aisee wanawake watakuua wewe we itembeze tu utaona mwisho wake
 
Back
Top Bottom