Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi........ Ndoa inapumulia mashine afu unajishaua eti long live tehe
Aaah wapi........ Ndoa inapumulia mashine afu unajishaua eti long live tehe
Aaah wapi........ Ndoa inapumulia mashine afu unajishaua eti long live tehe
Baba V tabia yako ya kwenda jela kila siku utakuta mpaka Mama v nae kashaolewa na mwingine maana sheria inasema kama mume akipelekwa lupango kwa muda mrefu mke anaruhusiwa kuolewa we endelea kuchezea lupango uone rangi kama hata na Mama v hutamkosa
Ndoa aliidhinisha makamu wako wa mwenyekiti baraka zako kwanza tulikuwa hatuzihitaji tulishapata za makamu wa mwenyekiti na ndoa hii ni halali wacha tule raha na Mamndenyi hapa
Mke Mwenza sweetlady Mtoto hajambo?Msalimie Nicas Mtei sana!!!
mwenyekiti humu kuna mambo mengiii yameendelea humu sijui unayajua??
Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya Mr Rocky na Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu Mamndenyi so hayo ya Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa Erickb52 kahamia kabisa kwa Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana
My darling Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina Baba V wanadeep deep hapa
Copy kwa Vin Diesel, Mungi, Erickb52, Nicas Mtei. Ruhazwe JR