Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Lazima nimepata mshtuko make mie ni mmoja wa wale walikuwa wanaipenda na kuifurahia kapo yenu........... :disapointed::shock:
Khaaaaa we ndio ulikuwa chaka...yan Mamndenyi alivyokuwa mcharuko kwa Mr Rocky ulifurahia?
Mdada hata hatulii mara kwa Vin Diesel mara Arushaone mara kwangu khaaa nani anataka pressure?
Mwache atulie kwanza.

Copy kwa Dena Amsi (Miss you shem wangu wa ukweli) , Mamndenyi (Pole kwa kudimotiwa toa big hausi hadi Hawara)
 
Last edited by a moderator:

Erickb52 kumbe na wewe ulikuwa unanizunguka eehh. Ndo maana Mamndenyi alikuwa hatuliii
Bora nimerudi kwa my wife wangu Dena Amsi wa ukweli aise
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 usiseme sana
si unajua kuwa mahawara hawaachani milele
shauri zako wewe jiweke kwa mbele kwa mbele
wakati niko mtaa wa pili hapa nakutazama tu.

Khaaaaa we ndio ulikuwa chaka...yan Mamndenyi alivyokuwa mcharuko kwa Mr Rocky ulifurahia?
Mdada hata hatulii mara kwa Vin Diesel mara Arushaone mara kwangu khaaa nani anataka pressure?
Mwache atulie kwanza.

Copy kwa Dena Amsi (Miss you shem wangu wa ukweli) , Mamndenyi (Pole kwa kudimotiwa toa big hausi hadi Hawara)
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky wakati mna maugomvi yenu kutwa kucha kunikosesha usingizi kwa mashtaka, leo mmepatana hata karibu ya soda hamna!! Msije tena siku nyingine lolNawatakia kila la kheri.... na mkome kusikiza maneno ya watu...................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom