Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

haya ngoja nikutumie ni hivi hapa pamoja na cha leseni ya ndoa kwani wamezidi kuongezeka wakiwa na leseni itawasaidia kuacha na kuachana pokea hivyo hapo chini marriage halisi.jpg na kingine hiki marriage cert.jpg na leseni hiyo hapo wasikusumbue ketapo lelo nkamu leseni marriage.jpg kama wakiongezeka usisite nkumbula une
Mtanifanya mwenyekiti wenu niwehuke sasa kha...!! ladyfurahia niandalie fasta kile cheti cha ndoa kama cha Madame B ili wawe wanaongeza tu waume...
 
hahahaa.... Na kametishika kweli....! Ila ndugu yangu unavyomuona Slave atanifaa? Maana nimeng'ang'aniwa na Chimbuvu nafanya mpango wa kujinasua then kuna kakijana cha kuleee kaskazini nakenyewe nahisi kukapenda ila kanavuta bangi mbayaaa, na sometime kanajifanya kalokole then kunanjemba moja kila kukicha yeye na mastres, stress na yeye, na yeye anataka kuniwowa.... Nashindwa nichague wapi mwenzio!!

Hako ka kaskazini ni pasua kichwa, kakikufunua sketi maramoja tu kanatoka nduki, ndo maana walikapa jina la yule mfalme wa swaziland..
 
Mkuu HorsePower uzalendo ulinishinda nikatafuta nyumba ndogo Mamndenyi kwa ajili ya kupitisha siku ila hata yeye Mamndenyi alijijua tuu kuwa anaiba na kama ni uhusiano uko ICU unasubiri kuondoka siku yoyote
Mr Rocky una akili sana wewe!
copy: Mamndenyi nilikukanya uachane na ma handosome hukusikia,haya sasa yamekukuta na kwangu huwezi rudi maana siku hizi mi naruka na viji chicken spring,ya nini bwana kujitesa na hela nnayo.
copy: amu, Zion Daughter na Arabela ........jioni tukutane Ambrosia mkiweza njooni na kibibi Kongosho kisadie kulinda magari tutakuwa tunakitupia vipande vya kuku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom