CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
charminglady nini tena mbona unanikatisha tamaa aise badala ya kunipongeza hapa.
Lazima nimepata mshtuko make mie ni mmoja wa wale walikuwa wanaipenda na kuifurahia kapo yenu........... :disapointed::shock:
Khaaaaa we ndio ulikuwa chaka...yan Mamndenyi alivyokuwa mcharuko kwa Mr Rocky ulifurahia?Lazima nimepata mshtuko make mie ni mmoja wa wale walikuwa wanaipenda na kuifurahia kapo yenu........... :disapointed::shock:
Dah jana nilikuwa nimebanwa nikashindwa kulogin aisee nashangaa nimepitwa na uhondo wa talaka the Vin Diesel atakuwa kahamia jukwaa la Evelyn Salt kuleeeee
Hahahahaaa kitu wowowowowoooooooMhhh Slave na huyo Lady doctor inakuwaje maana naona unahaha huku mara kule na huyo manoah ndio mpambe nini
Hahahahaaa kule ndio kunamfaa apambane na njemba za kuleVin Diesel ameona kila akiingia cc anapigwa kibuti kaamua kwenda kwenye jukwaa la Evelyn Salt na Madame B ataeudi salama kweli huko
Khaaaaa we ndio ulikuwa chaka...yan Mamndenyi alivyokuwa mcharuko kwa Mr Rocky ulifurahia?
Mdada hata hatulii mara kwa Vin Diesel mara Arushaone mara kwangu khaaa nani anataka pressure?
Mwache atulie kwanza.
Copy kwa Dena Amsi (Miss you shem wangu wa ukweli) , Mamndenyi (Pole kwa kudimotiwa toa big hausi hadi Hawara)
Khaaaaa we ndio ulikuwa chaka...yan Mamndenyi alivyokuwa mcharuko kwa Mr Rocky ulifurahia?
Mdada hata hatulii mara kwa Vin Diesel mara Arushaone mara kwangu khaaa nani anataka pressure?
Mwache atulie kwanza.
Copy kwa Dena Amsi (Miss you shem wangu wa ukweli) , Mamndenyi (Pole kwa kudimotiwa toa big hausi hadi Hawara)
manoah ni baunsa wangu.Mhhh Slave na huyo Lady doctor inakuwaje maana naona unahaha huku mara kule na huyo manoah ndio mpambe nini
kwenye bold....nimekubaliErickb52 usiseme sana
si unajua kuwa mahawara hawaachani milele
shauri zako wewe jiweke kwa mbele kwa mbele
wakati niko mtaa wa pili hapa nakutazama tu.
blia hivyo unazani ningehaha namna hiyo?
Hahahahaaa kitu wowowowowooooooo
Copy kwa Lady doctor
Mhhh Slave na huyo Lady doctor inakuwaje maana naona unahaha huku mara kule na huyo manoah ndio mpambe nini