Dena Amsi na Mr Rocky

haya ngoja nikutumie ni hivi hapa pamoja na cha leseni ya ndoa kwani wamezidi kuongezeka wakiwa na leseni itawasaidia kuacha na kuachana pokea hivyo hapo chini na kingine hiki na leseni hiyo hapo wasikusumbue ketapo lelo nkamu kama wakiongezeka usisite nkumbula une
Mtanifanya mwenyekiti wenu niwehuke sasa kha...!! ladyfurahia niandalie fasta kile cheti cha ndoa kama cha Madame B ili wawe wanaongeza tu waume...
 

Hako ka kaskazini ni pasua kichwa, kakikufunua sketi maramoja tu kanatoka nduki, ndo maana walikapa jina la yule mfalme wa swaziland..
 
Mkuu HorsePower uzalendo ulinishinda nikatafuta nyumba ndogo Mamndenyi kwa ajili ya kupitisha siku ila hata yeye Mamndenyi alijijua tuu kuwa anaiba na kama ni uhusiano uko ICU unasubiri kuondoka siku yoyote
Mr Rocky una akili sana wewe!
copy: Mamndenyi nilikukanya uachane na ma handosome hukusikia,haya sasa yamekukuta na kwangu huwezi rudi maana siku hizi mi naruka na viji chicken spring,ya nini bwana kujitesa na hela nnayo.
copy: amu, Zion Daughter na Arabela ........jioni tukutane Ambrosia mkiweza njooni na kibibi Kongosho kisadie kulinda magari tutakuwa tunakitupia vipande vya kuku.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…