Huyo huyo sosoliso kwani vipi?..... Wapili kivipi hebu fafanua kidogo
Mr Rocky wakati mna maugomvi yenu kutwa kucha kunikosesha usingizi kwa mashtaka, leo mmepatana hata karibu ya soda hamna!! Msije tena siku nyingine lolNawatakia kila la kheri.... na mkome kusikiza maneno ya watu...................
Shikamoo mume mwenza
Mweeee!Mabwaku haya!Mr Rocky una akili sana wewe!
copy: Mamndenyi nilikukanya uachane na ma handosome hukusikia,haya sasa yamekukuta na kwangu huwezi rudi maana siku hizi mi naruka na viji chicken spring,ya nini bwana kujitesa na hela nnayo.
copy: amu, Zion Daughter na Arabela ........jioni tukutane Ambrosia mkiweza njooni na kibibi Kongosho kisadie kulinda magari tutakuwa tunakitupia vipande vya kuku.
Nenda tu wala sina tatizo
namishaga chiza... Slave alimhola?
Ngoja niwashe taa ya rangi kwanza.......