Dena Amsi na Mr Rocky

Last edited by a moderator:
Baba V we acha tu
leo ni siku ya nne toka nipewe talaka
naweza kuandikwa sababu za mimi kuachika
mara kwa mara lakini hakuna aliyeniuliza

Mtamshika uchawi kila mtu lakini nahisi tatizo liko kwako, why do they do you then they go!??
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi wala usijiteteteee ila kwa sasa ukimpata Katavi tulia nae bana uweke historia hapa cc kwa kudumu kwenye ndoa
 
Last edited by a moderator:
Nimejitahidi kukaa mbali kwa heshima ya Mr Rocky, sasa kwa kuwa kaachia ngazi jiandae kupokea wageni nyumbani.

Mkuu Katavi uwanja ni wako now wala usije kwa kujifichaficha nenda kwa uwazi kabisa na jiachie kama kwako vile
 
Last edited by a moderator:
Eda itakwisha baada ya siku 40
pengine nitakuwa kwenye maamuzi
kwa sasa naendelea kujipaka machicha ya nazi
ili niutelezeshe mwili wangu.
 
We Katavi ana njaa kali na unamwambia asubiri siku 40 may be sema dak arobaini zojazo Katavi awe amepata jibu na mwenyekiti aangaze ndoa hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…