Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Mwenyewe anadai baada ya siku 40 ndio atakuwa tayari kutoa jibu. Hao vijana hawawezi kuingilia anga zangu kwani hawajipendi?

Dah Katavi hujipendi utashangaa baada ya siku 40@mamndenyi anakuja na mtu mwingine kabisa na wewe ushaachwa kwenye mataaa maana Bishanga anamuuitaji Mamndenyi vibaya mno
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel dah kusikia tuu Mamndenyi ameachwa umekuja mbio
Ushamuona Katavi hapo juu alivyo mbio kumuwahi au na wewe unataka uongie kwenye mchakato upya
Vin Diesel halafu nakutafuta sana ujue


Mkuu hujui kwamba kupasha ni rahisi kuliko kupika? ila kwenye hili nitapendelea kupika tu kwani muda ninao...
Tutafutane tu kamanda....
 
Mkuu hujui kwamba kupasha ni rahisi kuliko kupika? ila kwenye hili nitapendelea kupika tu kwani muda ninao...
Tutafutane tu kamanda....

Kupasha ni rahisi sana mkuu Vin Diesel kupika kugumu sana mara ujikate mara uunguzwe na mafuta mara chakula chenyewe kiungue ila kupasha ni faster sana aise
 
Last edited by a moderator:
Dah Katavi hujipendi utashangaa baada ya siku 40@mamndenyi anakuja na mtu mwingine kabisa na wewe ushaachwa kwenye mataaa maana Bishanga anamuuitaji Mamndenyi vibaya mno
Mamaaaa....! Pedeshee Bishanga naye anamtaka..! Itabidi niende kwa mwene Kapufi pale itwelele ili kujifua zaidi niweze kupambana na hawa mapedeshee wa hapa chitchat.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu wakati naondoka sikuaga....sasa kuna raia wakijua nipo hapa moto utaniwakia.....lile jukwaa la chini najua mod wake ni Evelyn Salt....

Vin Diesel mbaya sana aise kuondoka bila hata kuaga
Karibu sana mji wa baridi bana maana kwa sasa baridi imepamba moto mbaya
Usijifiche sana bana
 
Last edited by a moderator:
Mie huko nilishaondoka toka enzi za ukoloni....jibebee kwa raha na shida zako....
Utarudi na kuanzisha sredi hapa na nakuomba uni-tag tafadhali....

Vin Diesel ina maana Mamndenyi ni ni ninninnin ni nin ni ni ni kila mtu anaweza beba eti ndo maana hata Slave anajihakikishia ushindi sio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom