Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eda itakwisha baada ya siku 40
pengine nitakuwa kwenye maamuzi
kwa sasa naendelea kujipaka machicha ya nazi
ili niutelezeshe mwili wangu.
Nipo tayari kusubiri hizo siku.mmmmh
hapana hesabu siku arobaini toka umeniacha
ndipo naweza kusema.
Nitaweza kuvumilia aisee maisha ya ubachela yananitesa.
Hahahaah! Nitashukuru sana kaka ukinipigia debe.
Yalaaaaaa
Yarabi mie
kwi kwi kwi kwiiiiiiii
siwezi amini kama ni macho yangu daaaaah.
Hahahaah! Nitashukuru sana kaka ukinipigia debe.
Mr Rocky mie sijarudi kwa ajili ya Mamndenyi....tumuunge mkono Katavi kwenye harakati zake....Najua ukimaliza eda utarudi na nguvu mpya ila sijui kama eda yenyewe itaisha wakati Vin Diesel amerudi na Katavi namuona hapo anafanya zoezi
Mwenyewe anadai baada ya siku 40 ndio atakuwa tayari kutoa jibu. Hao vijana hawawezi kuingilia anga zangu kwani hawajipendi?
Hahahaaah!! Mkuu wewe haupo kwenye kinyang'anyiro? Mamndenyi njoo utoe ruhusa huku.