Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Mkuu Vin Diesel mi sijakugombanisha bana maana naona alitok kwako akaja kwangu sas hivi Slave na Katavi wanapambana hapa nani ampate
Mi sijasema kitu bana kaka
Lady doctor kama jina lilivyo ni dr wa malovi davi bana ndo maana Slave alikuwa anamkimbilia ila mo mkali huyo na anahitaji uwe na pesa sio za madafu ila euro na dollar na pound


Kuna dalili zote kwamba ujio wangu huu utaniletea neema za kutosha....Haleluyaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu Vin Diesel karibu sana na tusipotafutana tutahakikisha unaondoka arachuga bila kifanyio aise
Aise Lady doctor nishampa mawasiliano yako muwasiliane wenyewe bana mi sitaki kuwa mpiga debe mkuu ila ingia ucheze mwenyewe
Mwangalie sana Arushaone asije kutoa ngeu tuu

Naona kupotea kwangu kunafanya wageni wote waliokuja kugeuka wenyeji na sasa ndio wananikaribisha nyumbani kwangu....hatari sana..
Chuga nitakuja mkuu....lazima nitoe taarifa
 
Ndo hapo sasa Vin Diesel wewe hapa ni mgeni so angalia na tembea kwa step usije jikwaaa aise
 
Last edited by a moderator:
Katavi umesahau kuwa huyu jamaa ni king mswati wa chit chat yeye haulizwi ni wangapi ila anasubiri muda wake wa kuongeza mpya
Kumbe Arushaone ndio zake maana kila anayetajwa lazima apige mkwara kuwa ni wake na ana mpango naye. Nashangaa sijui kwa nini sisi tunaomgombea Mamndenyi hatupigwi mkwara...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom