Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,194
- 13,426
Eti Mr Rocky... Lady doctor ni nani....naomba bio yake tafadhali....
Ishia hapohapo Vin Diesel. Huyu Lady doctor nina mpango naye tena mpango endelevu.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Mr Rocky... Lady doctor ni nani....naomba bio yake tafadhali....
....Na ole wako usitoe taarifa....Utaondoka kwenye jiji hili without kifanyio.
Ishia hapohapo Vin Diesel. Huyu Lady doctor nina mpango naye tena mpango endelevu.
Mkuu Vin Diesel mi sijakugombanisha bana maana naona alitok kwako akaja kwangu sas hivi Slave na Katavi wanapambana hapa nani ampate
Mi sijasema kitu bana kaka
Lady doctor kama jina lilivyo ni dr wa malovi davi bana ndo maana Slave alikuwa anamkimbilia ila mo mkali huyo na anahitaji uwe na pesa sio za madafu ila euro na dollar na pound
Nitakuja mkuu na lazima tuonane...namuona Lady doctor hapa....ila Mr Rocky hajanipa info za kutosha...
Mkuu Vin Diesel karibu sana na tusipotafutana tutahakikisha unaondoka arachuga bila kifanyio aise
Aise Lady doctor nishampa mawasiliano yako muwasiliane wenyewe bana mi sitaki kuwa mpiga debe mkuu ila ingia ucheze mwenyewe
Mwangalie sana Arushaone asije kutoa ngeu tuu
Ndo hapo sasa Vin Diesel wewe hapa ni mgeni so angalia na tembea kwa step usije jikwaaa aise
Na wewe unao wangapi humu chit chat...Ishia hapohapo Vin Diesel. Huyu Lady doctor nina mpango naye tena mpango endelevu.
Nitakuja mkuu na lazima tuonane...namuona Lady doctor hapa....ila Mr Rocky hajanipa info za kutosha...
Kuna dalili zote kwamba ujio wangu huu utaniletea neema za kutosha....Haleluyaaaa.