Dena Amsi na Mr Rocky

Asee kifurushi si tuliweka cha unlimited mwaka mzima....au ukisema kusurf net wamaanisha jambo lingine

Bana kuna kodi ya kukaa kwenye kibanda cha net sasa mpaka nitangaze aise Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Wakati wa ujana wake akiwa anafikia ujana alikuwa penda penda ila kwa sasa ametulia mbaya yaani akiwa kwenye ndoa naamini itakuwa mfano hapa chit chat

hivi hajaachiwa wadudu? maana me pendapenda nawaogopaga sometime
 
Mkuu hujui kwamba kupasha ni rahisi kuliko kupika? ila kwenye hili nitapendelea kupika tu kwani muda ninao...
Tutafutane tu kamanda....

Dogo nakuhitaji ofisini kwangu kwa ajili ya ufafanuzi wa kina, kipindi chote ambacho hukumepo hapa wamezaliwa watoto wa kike 6 na wa kiume 8 na inasemekana ni mimba ulizozikimbia, mama na watoto wao nawalea home kwangu ila maadam umerudi uje tuwekane saa, mwanaume kulea familia, kuzaa hata mjusi anazaa dadadeki...
 
Mkuu hujui kwamba kupasha ni rahisi kuliko kupika? ila kwenye hili nitapendelea kupika tu kwani muda ninao...
Tutafutane tu kamanda....

Dogo nakuhitaji ofisini kwangu kwa ajili ya ufafanuzi wa kina, kipindi chote ambacho hukumepo hapa wamezaliwa watoto wa kike 6 na wa kiume 8 na inasemekana ni mimba ulizozikimbia, mama na watoto wao nawalea home kwangu ila maadam umerudi uje tuwekane saa, mwanaume kulea familia, kuzaa hata mjusi anazaa dadadeki....
 

Maayooo...weeee....!!!!! bora umekuja Baba V
 

Mhhhh mbona unaharibu sasa wewe Baba V unaona jamaa anakaribia kupata mke hapa baada ya kutoswa kwingi na wewe unakuja tena na taarif hizi
Mi nimejaribu kumsifia kama kijana mtulivu aliyejoondoa kwenye kundi la akina Arushaone na Erickb52 la penda penda na wewe unaharibu tena
 
Last edited by a moderator:

Mbona wataka kuniharibia ndoa yangu mkuu....matumizi mabaya ya madaraka haya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…