Dena Amsi na Mr Rocky

Lady doctor kaka yangu Vin Diesel anahesabu dollar na paund na euro alizopata jana baada ta kufanya mauzobya tanzanite zake
Ameanza toka jana mpaka leo hajamaliza ndo maana hajaonekana humu
Akimaliza nitamwambia akutafute
Acha na wachovu Baba V na Arushaone hao hawana hata pesa ya kukupa
Mamndenyi eda haijaisha tuu toka mwaka jana
 
Last edited by a moderator:

mwambie alete nimsaidie kuhesabu
 
Last edited by a moderator:
Unampigia shemejio debe siyo. Ni bado sana eda inaendelea.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…