Dena Amsi na Mr Rocky

We nakuomba umuhurumie tu mheshimiwa Lembeli,sababu nakuja kumtoa kwenye jimbo la Kahama.We si uko Maswa au mkoa mkoa mpya wa Simiyu..??

Mi niko mkoa mpya wa Simiyu bana tena tuna mzee wa Upinzani Mhe Upulukwa hapa
hahahaha karibu sana mkuu St. Paka Mweusi tunakuombea mafanikio bana
 
Last edited by a moderator:
kahama atachukua abasi babu .

Nikwambie ukweli basi,hata wewe unanifahamu.Abasi Babu nini bana wakati mimi sasa hivi hata wakisimamisha jiwe kwa jina langu hili jiwe litashinda.Na nachoshukuru sasa hivi ni kuwa katiba mpya inaruhusu mgombea binafsi.Kwa hiyo hata mkinishinda kwenye vyama vyenu nitasimama kama mwana Kahama.Na nilipojenga wala sio mbali ni pale Mhungula tu utanipata....
 


Mkuu St. Paka Mweusi ngoja nikipita Kahama siku nitauliza kwako aise
hayo ni mafanikio mkuu na kama una nia pambana aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu St. Paka Mweusi ngoja nikipita Kahama siku nitauliza kwako aise
hayo ni mafanikio mkuu na kama una nia pambana aise

Hawana pa kutokea safari hii,na nitawaomba tu waniruhusu kusimama mimi.Kwa sababu wasiponiruhusu nitasimama kama mgombea binafsi na nikwambie tu kuwa mimi ni mkulima mzuri sana wa mchele katika mbuga iliyo kati ya mhungula na wigehe.Nina eka zangu 70 pale...
 


Wou thats great mkuu aise nakupongeza sana kwa hilo mkuu St. Paka Mweusi
 
Last edited by a moderator:
mmmh eka 70 pale ......
huku ardhi tele
hatulimi ghorofani sisi.

 

hahahahaaa!! njoo kwetu malunga utuone wazee kama wanavyo fanya wenzio akina bobson,na wengine kisha umuulize iddsam mapande kilicho mtokea baada ya kukaidi kuonana nasisi
 

wigehe mbona ni shuleni huko? akina hassan mponya wenzako wanamashamba makubwa kule kwa akina lembeli.
 

Kila la kheri katika maamuzi yenu hayo.

Japo habari ya kuchanganya madesa si nzuri kabisa maisha ya sasa siyo kabisaaa
 
Kila la kheri katika maamuzi yenu hayo.

Japo habari ya kuchanganya madesa si nzuri kabisa maisha ya sasa siyo kabisaaa
KOKUTONA sometimes inabidi tuchanganye madesa inapobidi si unaona hata king mswati Arushaone na nzee wa penda penda Erickb52 na kula kulala manoah na mwenzake Slave mambo yao ni kuchanganya madesa tuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…