Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Nani kakudanganya Lady doctor ni mgeni humu?
Nami sijasema kuwa yeye ni mgeni.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakudanganya Lady doctor ni mgeni humu?
Subira huvuta kheri mkuu, huyo daktari utamjua tu. KARIBU.
na wewe unao wangapi humu chit chat...
Ayaa! Piga kimya mkuu unaharibu.
Kumbe Arushaone ndio zake maana kila anayetajwa lazima apige mkwara kuwa ni wake na ana mpango naye. Nashangaa sijui kwa nini sisi tunaomgombea Mamndenyi hatupigwi mkwara
Walinipendekeza tu nika-reject mkuu!
sina hata mmoja mkuu.
Mmmmmh..!! Kauli hizi mbili zinapishana...Ayaa! Piga kimya mkuu unaharibu.
Hahahahaha mkuu Arushaone nafuta kauli hapo bana sijasema kitu aise hata Vin Diesel wala Katavi hawajaona
Mmmmmh..!! Kauli hizi mbili zinapishana...
Arushaone Vin Diesel na Mr Rocky mkimaliza maongezi naomba mlipie bil ya jina langu!!!!
Mhhh nijuavyo sio kupendekezwa ila ilipitishwa rasmi chama kinaongozwa na mwenyekiti Erickb52 na makamu wawili Vin Diesel na Mr Rocky na katibu ni Arushaone
Arushaone Vin Diesel na Mr Rocky mkimaliza maongezi naomba mlipie bil ya jina langu!!!!