Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

achana nao my swt, hao wana kashfa nyingi sana. Unajua kilicho mkimbizaga mr penda penda Vin Diesel hapa mjini? Baada ya kuachana na Mamndenyi jamaa alihaha mpaka akaparamia kitoto cha miaka tisa kinaitwa sharifaa kwahiyo wasikupotezee muda, afu vp mpango wetu wa ndoa.?

Msimulie yote kuhusu Evelyn Salt kama hatakukimbia.....
 
Last edited by a moderator:
Slave hatuna taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yako na Evelyn Salt hata mwenyekiti Baba V hana taaria. Mpaka tutakapotangaziwa hapa ukumbini kuvunjika kwa ndoa yako ndo tutakupa uhuru wa kwenda kwingine
Kwa hiyo kwa sasa naona tu unamdanganya Lady doctor na anaweza kuishia kuwa nyumba ndogo
Vin Diesel uliteuliwa na kikao halali kuwa makamu mwenza wa chama cha penda penda
Arushaone nakuangalia tuu we endelea na mambo yako kama sitamwambia Lady doctor siri zako
Lady doctor ukiona unatajwatajwa jua kwamba uko juu na kuna watu wana interest na wewe na hapa ushaona kuna Vin Diesel kuna Slave na Arushaone
 
Last edited by a moderator:
achana nao my swt, hao wana kashfa nyingi sana. Unajua kilicho mkimbizaga mr penda penda Vin Diesel hapa mjini? Baada ya kuachana na Mamndenyi jamaa alihaha mpaka akaparamia kitoto cha miaka tisa kinaitwa sharifaa kwahiyo wasikupotezee muda, afu vp mpango wetu wa ndoa.?

nawewe si walewale?
Me tayari nilishanasa kwako ukaanza kutongoza walioachika.... Inamaana hulidhiki haya ngoja me nijinasue ili utongoze vizuri
 
Last edited by a moderator:
Slave hatuna taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yako na Evelyn Salt hata mwenyekiti Baba V hana taaria. Mpaka tutakapotangaziwa hapa ukumbini kuvunjika kwa ndoa yako ndo tutakupa uhuru wa kwenda kwingine
Kwa hiyo kwa sasa naona tu unamdanganya Lady doctor na anaweza kuishia kuwa nyumba ndogo
Vin Diesel uliteuliwa na kikao halali kuwa makamu mwenza wa chama cha penda penda
Arushaone nakuangalia tuu we endelea na mambo yako kama sitamwambia Lady doctor siri zako
Lady doctor ukiona unatajwatajwa jua kwamba uko juu na kuna watu wana interest na wewe na hapa ushaona kuna Vin Diesel kuna Slave na Arushaone

halafu Mr Rocky nitahitaji unisaidie kitu kimoja kama upo tayari
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom