Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mkuu kumbuka kwamba hao jamaa uliowataja wapo kwenye game muda mrefu hata kiumri ni wakubwa wake hivyo tegemea busara kutoka kwao...pia kumbuka tabia tulizotoka nazo mtaani kwetu huwa zinabadilika kadiri mtu anavyojichanganya na wengine..Huyu jamaa ana kauli za kike sana, mswahiliswahili,
Hana post za kisuper star, muda mwingi anapost utumbo, huwa anajishushia sana rate yake, sijui kwanini haigi wanachofanya masuper star wenzie km mwana fa, prf jay, ay, kiba watu hawa post zao zimekaa kisuper star ila mshkaji ni mswahili asiyebadilika, halafu uswahili wake ni ule wa kike
Unaweza wewe ukajiona sio mswahiliswahili ila umefika hapo kutokana na hatua ya ulipo pita na ndio maana ukiona hawa mnaowaita ma-star wamechemka msiwalaumu kwa kuwa kuwa star ni tukio la mara moja yaani unaweza ukasaga rhumba kwa miaka yako tangu umezaliwa unashangaa umefika age flani unatoa kitu chako kinatokea kupendwa na watu na mara puuuu ndani ya huo mwaka ume-change status na kuanza kukutana na ma-super star (akili yako ni ile ile ila status inakuwa imebadirika hivyo inahitaji muda na by the way dogo amebarika sana tatizo kizazi cha sasa ni cha kwenye mitandao ya kijamii na wanapenda chokochoko na hata waandishi wengi. (ni sawa na mtu amepiga picha ya utupu ipo kwenye simu yake bahati mbaya mtu ameidukua simu na kusambaza picha kwenye public, tunabaki kumlaumu mwenye picha ila msambazi anaonekana amefanya poa, na hata haya mabifu yaani wasababishi ni wadau wa hao madogo