Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

Huyu jamaa ana kauli za kike sana, mswahiliswahili,

Hana post za kisuper star, muda mwingi anapost utumbo, huwa anajishushia sana rate yake, sijui kwanini haigi wanachofanya masuper star wenzie km mwana fa, prf jay, ay, kiba watu hawa post zao zimekaa kisuper star ila mshkaji ni mswahili asiyebadilika, halafu uswahili wake ni ule wa kike
Mkuu kumbuka kwamba hao jamaa uliowataja wapo kwenye game muda mrefu hata kiumri ni wakubwa wake hivyo tegemea busara kutoka kwao...pia kumbuka tabia tulizotoka nazo mtaani kwetu huwa zinabadilika kadiri mtu anavyojichanganya na wengine..

Unaweza wewe ukajiona sio mswahiliswahili ila umefika hapo kutokana na hatua ya ulipo pita na ndio maana ukiona hawa mnaowaita ma-star wamechemka msiwalaumu kwa kuwa kuwa star ni tukio la mara moja yaani unaweza ukasaga rhumba kwa miaka yako tangu umezaliwa unashangaa umefika age flani unatoa kitu chako kinatokea kupendwa na watu na mara puuuu ndani ya huo mwaka ume-change status na kuanza kukutana na ma-super star (akili yako ni ile ile ila status inakuwa imebadirika hivyo inahitaji muda na by the way dogo amebarika sana tatizo kizazi cha sasa ni cha kwenye mitandao ya kijamii na wanapenda chokochoko na hata waandishi wengi. (ni sawa na mtu amepiga picha ya utupu ipo kwenye simu yake bahati mbaya mtu ameidukua simu na kusambaza picha kwenye public, tunabaki kumlaumu mwenye picha ila msambazi anaonekana amefanya poa, na hata haya mabifu yaani wasababishi ni wadau wa hao madogo
 
Ahhahahaa zilipendwa
Huoni kuwa mwanaume kuandika ivyo ni ushoga?

Amemushughulisha nan mwenye ndevu mwarabu au?

Dalili za kukaa kupost mipasho insta huku unaemkejere hana time na ww huoni kuwa ni ufala na ulofa?

Seduce me
 
Mkuu kumbuka kwamba hao jamaa uliowataja wapo kwenye game muda mrefu hata kiumri ni wakubwa wake hivyo tegemea busara kutoka kwao...pia kumbuka tabia tulizotoka nazo mtaani kwetu huwa zinabadilika kadiri mtu anavyojichanganya na wengine..

Unaweza wewe ukajiona sio mswahiliswahili ila umefika hapo kutokana na hatua ya ulipo pita na ndio maana ukiona hawa mnaowaita ma-star wamechemka msiwalaumu kwa kuwa kuwa star ni tukio la mara moja yaani unaweza ukasaga rhumba kwa miaka yako tangu umezaliwa unashangaa umefika age flani unatoa kitu chako kinatokea kupendwa na watu na mara puuuu ndani ya huo mwaka ume-change status na kuanza kukutana na ma-super star (akili yako ni ile ile ila status inakuwa imebadirika hivyo inahitaji muda na by the way dogo amebarika sana tatizo kizazi cha sasa ni cha kwenye mitandao ya kijamii na wanapenda chokochoko na hata waandishi wengi. (ni sawa na mtu amepiga picha ya utupu ipo kwenye simu yake bahati mbaya mtu ameidukua simu na kusambaza picha kwenye public, tunabaki kumlaumu mwenye picha ila msambazi anaonekana amefanya poa, na hata haya mabifu yaani wasababishi ni wadau wa hao madogo

Kwahyo mtu mwenye watoto watatu, mtu anayemlala mwanamke mwenye 40 unamuona ni mdg? Ukishavuka 18 yrs ww ni mtu mzima, acheni kumtetea huko ni kufuga maradhi, mbona anapoombaga kura kwenye tunzo anatumiaga busara ya hali yajuu

Mnamtetea tuu ila mjue si lazima kila mtu ampende diamond, hvy inapotokea mtu anamkosoa achaneni nae,

Ila km kumshauri mwambie usuper star wake ni kwenye music courier yke tu, ila personality yupo local sana, so cheap, sidhani km kuna masuper star wakubwa wa africa au dunia wanaweza even ku like post zake

Mtoto wa kiume post ni majungu utasema watoto wa kike wanasutans

Shame
 
Kwa mimi binafsi naona Diamond ndio Mwanamziki pekee Tanzania kwa sasa anayeipeperusha Bendera ya Tanzania vyema, na ndio Mwanamziki anayejituma na mafanikio yake yanaonekana si mitandaoni hata kikazi pia . Hao wengine ni Wanatumia mgongo wa wa Mafanikio yake kujiongezea sifa, lakini mwisho wa siku Tanzania na Dunia inaelewa inatambua kwama Diamond ni msanii anayejituma na mwenye mafanikio sana katika kazi zake.Upande wa Kiba sawa ni mwanamziki mzuri sana lakini kwa level ya Diamond bado ajamfikia hata atoweza kumfikia kwa sasa. Anatakiwa ajitume Sanaa tena sana , kwa wale wakuelewa wataelewa sana kiwango cha Diamond na wale wasiotaka kuelewa kwa chuki zao binafsi ndio wanaomuangusha Kiba . Maana tukisema sasa hivi Diamond aachane na mziki sidhani kama Kiba atakuwa kwenye gumzo la kuanzia utoaji nyimbo , video , burudani majukwaani na kadhalika. Kiba hizo sifa anazopewa zisukumwe kutokana na mafanikio yake katika misingi ya kazi zake , kuanzia miziki yake , video zake , burudan zake majukwaani na uongozi wake katika kujiendeleza na kuji manage kikazi , sio tuu apewe sifa kisa Diamond anamaringo , hilo atumsaidii Kiba bali tunamdumaza tuu . Wakati mwenzake yeye yupo mbali. Tuliona kwa Darassa na nyimbo yake Weka mziki, watu walipiga kelele weee Mwisho wa Diamond umefika , haya Darassa yupo wapi kwa sasa na Diamond yupo wapi? Weka mziki watu washaisahau , wanaongelea ya Diamond , Mjengeni kiba kwa vigezo atoe kazi za maana video za maana na burudani za maana , sio mnamjenga kutupia nyimbo kuangaliwa Mara milion 2 ,hata ukiweka kinyesi YouTube unaweza kukupata hao watu na zaidi japokuwa kinyesi sio kitu kizuri , sio kila kitu kilichopo YouTube ni kizuri kisa kimeangaliwa na wengi.
 
Samahani mkuu kwa kukukwaza...nilitoa sababu ya kisolojia wala sina nia ya kumtetea mtu..kuwa na miaka zaidi ya 18 haimaanishi kwamba wewe ndo umebadirika ...unaowaita ma-star ama mtu yoyote anaetoka level flani kwenda level nyingine kwa nchi zetu za kiafrika huwa hawajajiandaa kisaikolojia kuubeba umaarufu...angalia hao unaowataja wamepitia wapi ulinganishe na huyo dogo (Diamond)..huyo dogo ni mtoto wa uswahilini hata hapo alipofikia amebadirika lakini hao wengine malezi yao tofauti kabisa na wamekulia maeneo tofauti kabisa ambayo hata mtu ambae hajaenda shule ustaarabu unakuwepo kutokana na aina ya watu aliokuwa nao.

Kwangu mie wote ni watu wa majungu pia washabiki wao hali kadharika...kama wewe mwenyewe unafuatilia maneno ya kanga ambayo kwa mwanaume yoyote ni ngumu kuyaelewa mpaka asimuliwe na wewe ni mswahili...in this case hata wewe ni MSWAHILISWAHILI ndo maana maneno yake yanakuchoma maana waswahili mnapenda mpasho. Mwanaume wa ukweli ambae sio mswahiliswahili anaelewa kauli za moja kwa moja kama aliyotoa Ommy Dimpo lakini sio post kama za Kiba na Diamond ambazo zimejificha kama sio nyie WASWAHILI wengne wasingejua kinachozungumzwa...Acha USWAHILI hutaona Diamond kama MSWAHILI
 
Huo ni upepo tu kama wa vyeti vya bashite. Yameshapita na huu utapita. Tukubali diamond ni mtu ambae anajituma hata kama akishuka Ana vitega uchumi vyake vyengine.sisi tupambane na hali yetu
Mimi sio mpnz wa muzik lkn huo wimbo wa zilipendwa nimeukubal sana kuanzia mpangilio ktk video had ujumbe....bla unafk jamaa anajitahid
 
Kwa mimi binafsi naona Diamond ndio Mwanamziki pekee Tanzania kwa sasa anayeipeperusha Bendera ya Tanzania vyema, na ndio Mwanamziki anayejituma na mafanikio yake yanaonekana si mitandaoni hata kikazi pia . Hao wengine ni Wanatumia mgongo wa wa Mafanikio yake kujiongezea sifa, lakini mwisho wa siku Tanzania na Dunia inaelewa inatambua kwama Diamond ni msanii anayejituma na mwenye mafanikio sana katika kazi zake.Upande wa Kiba sawa ni mwanamziki mzuri sana lakini kwa level ya Diamond bado ajamfikia hata atoweza kumfikia kwa sasa. Anatakiwa ajitume Sanaa tena sana , kwa wale wakuelewa wataelewa sana kiwango cha Diamond na wale wasiotaka kuelewa kwa chuki zao binafsi ndio wanaomuangusha Kiba . Maana tukisema sasa hivi Diamond aachane na mziki sidhani kama Kiba atakuwa kwenye gumzo la kuanzia utoaji nyimbo , video , burudani majukwaani na kadhalika. Kiba hizo sifa anazopewa zisukumwe kutokana na mafanikio yake katika misingi ya kazi zake , kuanzia miziki yake , video zake , burudan zake majukwaani na uongozi wake katika kujiendeleza na kuji manage kikazi , sio tuu apewe sifa kisa Diamond anamaringo , hilo atumsaidii Kiba bali tunamdumaza tuu . Wakati mwenzake yeye yupo mbali. Tuliona kwa Darassa na nyimbo yake Weka mziki, watu walipiga kelele weee Mwisho wa Diamond umefika , haya Darassa yupo wapi kwa sasa na Diamond yupo wapi? Weka mziki watu washaisahau , wanaongelea ya Diamond , Mjengeni kiba kwa vigezo atoe kazi za maana video za maana na burudani za maana , sio mnamjenga kutupia nyimbo kuangaliwa Mara milion 2 ,hata ukiweka kinyesi YouTube unaweza kukupata hao watu na zaidi japokuwa kinyesi sio kitu kizuri , sio kila kitu kilichopo YouTube ni kizuri kisa kimeangaliwa na wengi.
Point nzur sana
 
Huyu jamaa ana kauli za kike sana, mswahiliswahili,

Hana post za kisuper star, muda mwingi anapost utumbo, huwa anajishushia sana rate yake, sijui kwanini haigi wanachofanya masuper star wenzie km mwana fa, prf jay, ay, kiba watu hawa post zao zimekaa kisuper star ila mshkaji ni mswahili asiyebadilika, halafu uswahili wake ni ule wa kike
Huo huo uswahili ndio umemfanya ww NA wenzako mumjue ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale watu wanapopiga kelele kwa viewers 2M wakati mtu ana nyimbo ina hadi viewers 31M.
Ni akili ya vijana wenye wivu,majungu na fitina.
Swali....ilichukua muda gani iyo video kufika izo viewers

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Watu wanafikisha 1 billion wapo kimya afu we we 1m kelele pambana halo yako mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ana kauli za kike sana, mswahiliswahili,

Hana post za kisuper star, muda mwingi anapost utumbo, huwa anajishushia sana rate yake, sijui kwanini haigi wanachofanya masuper star wenzie km mwana fa, prf jay, ay, kiba watu hawa post zao zimekaa kisuper star ila mshkaji ni mswahili asiyebadilika, halafu uswahili wake ni ule wa kike

Hehehehehe,eti masuperstar wengine kama wakina Mwana fa........duuuh Mwana fa?!!!!...
 
Watu wananishangaza sana. Pamoja na promotion zote hizo. Watu wanakesha kwenye mitandao kuongeza views. Nimeshangaa kutembelea account ya Ali kiba na Diamond
Alikiba yupo na views 2.3m wakati Diamond yupo na 1.6m. Tafauti ni ndogo sana.
Hakuna wimbo wowote Ali kiba kafikisha views 10m.
Kila kona watu wanapiga promo na kumchafua Diamond nilitegemea views zingekuwa chini sana.

Ngoja hizi nyimbo tuzipe muda wa mwezi mmoja. Tutaona mbichi na mbivu. Maana promo maandazi zitaisha.
 
Back
Top Bottom