BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Kabisa mkuu,niko idara ya Afya. Kuna pesa inaingizwa kupitia mfuko wa Basket Fund. Hizo pesa hugawiwa zahanati zote nchini,vituo vya afya vyote nchini na hospital za wilaya zote nchini. Ni fungu nono mnoo. Wao ndo wafadhili wa huo mfuko.Kwanza ndio nchi ya kwanza duniani kwa kutoa misaada .........hakuna kama marekani............akisema sitoi misaada miezi 6 tu anakuwa adaiwi hata nukta