Kabisa mkuu,niko idara ya Afya. Kuna pesa inaingizwa kupitia mfuko wa Basket Fund. Hizo pesa hugawiwa zahanati zote nchini,vituo vya afya vyote nchini na hospital za wilaya zote nchini. Ni fungu nono mnoo. Wao ndo wafadhili wa huo mfuko.Kwanza ndio nchi ya kwanza duniani kwa kutoa misaada .........hakuna kama marekani............akisema sitoi misaada miezi 6 tu anakuwa adaiwi hata nukta
Mkichapisha pesa zenu hizi za kipumbavu mtakula mavi.Ngoja nasi tuchapishe. Kwa maana tumewaiga kuwa mabepari, hivyo hata hilo nalo litawezekana.
Ukiwa umeishia la saba usipende kutoa mawazo yako umeongea kitoto sana.Wakichapisha noti za kutosha deni wakalipa wanapata hasara gani?
Kwamba Marekani nayo huduma ni mbovu kama Tanzania?Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Farao.
Deni la Marekani kwa takwimu za 2023, limefikia $34 trilioni. Kiwango hiki kinaifanya Marekani kuwa kinara wa deni kubwa kabisa duniani. Kumbe hata matajiri wanakopa!
Chanzo:
Reuters
https://www.reuters.com/world/us/total-us-public-debt-tops-34-trillion...
US public debt tops $34 trln as Congress heads into funding fight
The U.S. federal government's total public debt has reached $34 trillion for the first time, the U.S. Treasury Department reported on Tuesday as members
My take: Ukiukumbatia ubebari, raha yake ni kukopa. Japo kulipa ni majanga.
Kwanza huduma zao zikoje?1. Deni la Marekani liko kwa Dola za Marekani.
2. Deni la Marekani sehemu kubwa ni deni LA ndani, Deni la watoa huduma na wafabiashara wa ndani, Mfano Boeing. Boeing hata akiiuzia Serikali ndege ya kijeshi ya Dola million 100 kwa mkono, Tanzania huku tunanua ndege Boeing kwa Dola million 110, % ya hela yetu itaenda kwenye Kodi ya Serikali ya Marekan, kwa hiyo Deni lao sio rahisi kuwa baya sana
Somo la uraia darasa la SITA na historia darasa la Saba si tulifundishwa uchumi wa marekani hautegemei uzalishaji pekee kwa kuwa hela Yao ni dhamana kwa hela nyingine kwa hiyo kuchapa noti nyingi ni sawa na Tanzania kuchimba dhahabu nyingi!Ukiwa umeishia la saba usipende kutoa mawazo yako umeongea kitoto sana.
Kwa kujuana mimi ni mchumi unajitia aibuSomo la uraia darasa la SITA na historia darasa la Saba si tulifundishwa uchumi wa marekani hautegemei uzalishaji pekee kwa kuwa hela Yao ni dhamana kwa hela nyingine kwa hiyo kuchapa noti nyingi ni sawa na Tanzania kuchimba dhahabu nyingi!
Mchumi wa nn,Kwa kujuana mm ni mchumi .unajitia aibu
Kwanza ndio nchi ya kwanza duniani kwa kutoa misaada .........hakuna kama marekani............akisema sitoi misaada miezi 6 tu anakuwa adaiwi hata nukta
Deni halina cha mkubwa wala mdogo dawa yake kulipa tu, ispokuwa kulipa kwa mpango maalumu, TATIZO LA TANZANIA TUNAKOPA HALAFU TUNATENGENEZA MIRADI DUNI YENYE LIFE EXISTENCE FUPI, HASARA YA MIKOPO YETU TUNAIPATIA HAPO. WENZETU WAKIJENGA WAMEJENGA WAMEMALIZA, MFANO KAMPUNI PEKEE ILIYOWEZA KUJENGA BARABARA ZA KUDUMU TANZANIA ILIKUWA NI MOWLEM YA UINGEREZA,AKIJENGA HESABU MIAKA 50-100.Uzuri pia wa Marekani anaweza kugoma kulipa hayo madeni na hakuna chamkufanya, sasa wewe Tanzania goma kulipa hayo madeni kidogo unayodaiwa uone cha moto..
Deni halina cha mkubwa wala mdogo dawa yake kulipa tu, ispokuwa kulipa kwa mpango maalumu, TATIZO LA TANZANIA TUNAKOPA HALAFU TUNATENGENEZA MIRADI DUNI YENYE LIFE EXISTENCE FUPI, HASARA YA MIKOPO YETU TUNAIPATIA HAPO. WENZETU WAKIJENGA WAMEJENGA WAMEMALIZA, MFANO KAMPUNI PEKEE ILIYOWEZA KUJENGA BARABARA ZA KUDUMU TANZANIA ILIKUWA NI MOWLEM YA UINGEREZA,AKIJENGA HESABU MIAKA 50-100.
Ndo mtegemewa wa Dunia.Na Marekani ndiye mchangiaji mkubwa wa bajeti za mashirika yote ya UN.
Kwamba Marekani nayo huduma ni mbovu kama Tanzania?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MTEGEMEWA WA DUNIA NDANI HALI NI HII
View attachment 2861432
View attachment 2861433
View attachment 2861434