Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.Unafahamu maana ya propaganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.Unafahamu maana ya propaganda?
Ni kweli tunajua mama wa kambo anamtegemea mungu na sio Munguwe
Ndio maana unaona nilichoandika nipropaganda,Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.
Wewe unamtegemea yupi?
Chadema this time hoja mmeishiwa sana hasa wewe
Bavicha ipi tena Tanzania?Ndio maana unaona nilichoandika nipropaganda,
Nyie Bavicha jifunzeni kujenga hoja mtaheshimika sio kurukaruka humu na Kila mada
Hawahawa masaliaBavicha ipi tena Tanzania?
Mrudieni Mungu kwanza ili mpate kibali kwanza,Jitahidi kutenganisha propaganda na hoja.
Chama bila Mungu ni takataka kabisaMrudieni Mungu kwanza ili mpate kibali kwanza,
Hakika😍😍Chama bila Mungu ni takataka kabisa
Safi sana hii 💪🏿💪🏿🙌🏿🙌🏿Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Deni la Serikali kwa mujibu wa Ripoti ya Hali ya Uchumi ya Taifa iliyotolewa mwezi Jun 2021 na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba Bungeni Jijini Dodoma ilionesha deni la Serikali kuwa ni Jumla ya Tshs 60.9Trilioni au $27.7BL huku deni la nje likiwa ni Tshs 43.7trilioni au $20BL na deni la ndani likifikia Tshs 17.3trilioni au $8BL,Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza tu ya 2021|22 ameshatenga Jumla ya Tshs 10.66trilioni sawa na 18% ya deni lote la Serikali kwaajili ya kulipunguza deni hili nihakika nchi yetu iko kwenye mikono Salama sana ya Rais Samia Suluhu Hassan,
Lazima tufahamu yakuwa deni letu hili la TZS 60.9trilioni au $27.7BL ni Stahimilivu na Nihimilivu kwa mujibu wa vigezo vya Kitaifa na Kimataifa,Kwamujibu wa Uchambuzi uliofanywa mwishoni mwamwaka Jana na watu kutoka nje haya hapa yalikuwa matokeo ya Uchambuzi wao kuhusu deni letu la Serikali,
A. JE! VIASHIRIA VYA USTAHIMILIVU WA DENI LA SERIKALI UKOJE?
1. Uwiano wa Deni la Serikali kwa Pato la Taifa ( GDP ) tumekopa na kufikia 27.9% huku ukomo Kimataifa ukiwa ni 70% maana yake bado iko fursa|nafasi ya kukopa 42.1% zaidi kwa lugha rahisi hata nusu ya kigezo hatujavuka,
2. Uwiano wa deni letu la nje kwa Pato la nchi ( GDP ) tumekopa na kufikia 17.3% huku ukomo wa juu Kimataifa ukiwa ni 55% kwa lugha nyepesi bado iko room|fursa ya kukopa 37.7% zaidi yaani hata nusu ya kigezo hatujavuka,
3. Uwiano wa deni la nje kwa mauzo ya nje tumefikia 113.2% huku ukomo ukiwa ni 240% yaani bado iko room|fursa ya kukopa 126.8% zaidi maana yake hata nusu kigezo hatujavuka,
B. JE! UWEZO WETU KAMA TAIFA KULIPA DENI HILI IKOJE?,
1. Uwezo wetu wa kulipa deni la nje kwa mapato ya ndani ni 13.7% wakati ukomo ni 23% maana yake bado tuna nguvu ya 9.3% zaidi ya kulipa deni,
2. Uwezo wa kulipa deni la nje kwa mapato ya nje ni 14% huku ukomo ukiwa ni 21% bado iko nafasi ya 7% zaidi ya nguvu yetu katika marejesho
Tukiwa na Rais Makini kuwahi kutokea Mhe Samia Suluhu Hassan na Kwa viashiria hivi bado kama nchi tunao uwezo|nafasi ya kukopa zaidi ya marambili ya tulivyokopa na bado mambo yakasalia kuwa sawa sawa ,
Deni letu ni stahimilivu sana ila siku mkisikia limefikia zaidi ya Tshs 120trilioni kwa Pato hili hili la $66BL hapo karibisheni mashaka na hofu ndani yenu ila kwa sasa kuweni na amani pengine kuliko wakati wowote wa uwepo wenu hapa Tanzania kwani mnae Mama Samia Suluhu Hassan shujaa wa Africa,
View attachment 1990999
💪🏿💪🏿🙌🏿🙌🏿 Kabisa yaaniKaziiendelee pacha,
Ngoja tusaidie Taifa letu
Punguza wenge mjomba bila CCM ungekuwa wapi?Hizi hua ni story za ccm miaka na miaka.
Utasikia deni himilivu, deni stahimivu.
Ccm hata wakipewa miaka 800 bado maendeleo Tanzania tutaishia kuyaona na kuyasikia kwenye tv.
Nawewe kila siku hoja ni hii hii, badilika 🚮🚮Naona id zako tapeli ziko kazini zote. Hiki ulicholeta hapa ni propaganda mfu za miaka yote za CCM. Kipindi cha yule dhalimu aliyeko kuzimu, porojo zilikuwa kali zaidi. Hapa tulipo tunawachora tu maana hamna jipya.
Nchi chini ya Samia hakuna Jam wewe kula bata tuPacha nakusalimu kwa jina la JMT,
nimefarijika deni liko sawa hakuna Jam,
Hongera sana Mama Samia,
Ningekua nakutafuna.Punguza wenge mjomba bila CCM ungekuwa wapi?
Ndio Mbowe kawazoesha hayo,Ningekua nakutafuna.
Nenda kwenye mbuga ukashuhudie utitiri wa Watalii mjombaIgizo la Royal Tour liligharimu kiasi gani??
Wewe ni kichaa kitambo tena nakufahamu vizuriNi kweli tunajua mama wa kambo anamtegemea mungu na sio Mungu.