Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

Sifahamu, hebu nisaidie kuifahamu.
Ndio maana unaona nilichoandika nipropaganda,

Nyie Bavicha jifunzeni kujenga hoja mtaheshimika sio kurukaruka humu na Kila mada
 
Safi sana hii 💪🏿💪🏿🙌🏿🙌🏿
 
Naona id zako tapeli ziko kazini zote. Hiki ulicholeta hapa ni propaganda mfu za miaka yote za CCM. Kipindi cha yule dhalimu aliyeko kuzimu, porojo zilikuwa kali zaidi. Hapa tulipo tunawachora tu maana hamna jipya.
Nawewe kila siku hoja ni hii hii, badilika 🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…