Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu

Mkuu maendeleo gani wewe hujayaona kwenye eneo lako?

Fanya kazi kwa bidii maendeleo utayaona tu,

#KAZI IENDELEE
Kwamba watanzania kwa miaka 60 ya ccm hawafanyi kazi kwa bidii ama miaka yote hiyo ni wavivu ndio maana hawaoni maendeleo?

Zaidi ya 70% ni fukara wa kutupwa, je hua hawafanyi kazi kwa bidii?

Chini ya ccm hata ufanye kazi kwa bidii gani bado maendeleo utaishia kuyaona kwenye tv.

Chini ya ccm tegemea sera mbovu za uchumi, sera zisizotabirika, sera zisizo na muendelezo, usimamizi mbovu, utawala na uongozi dhaifu, rushwa ukiritimba, wizi, ufisadi, uchafu wa kila namna.

Tanzania ililaaniwa immediately baada ya ccm kuanza kuongoza hii nchi.
 
Unamaana gani mjomba?
Tanzania hakuna matajiri,
Tanzania hakuna vitu vya thamani kisa CCM?
 
Nchi iko Salama salama,

Deni la kawaida kabisa hili,

Tukitaka kukopa tukope tu hesabu inaruhusu

Na Upepo ni mzuri sana kwa upande wetu kama nchi kwa siku za usoni,

#KAZI IENDELEE
πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Serikali ya Rais Samia kila kitu kiko sawa sawa,
 
great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…