Walikopeshwa nini?Mzuka Wanajamvi.
Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.
Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.
Je wataweza kulipunguza deni hili?
Mwafrika bado hajaweza kujitawala. Kwaufupi SA ilikufa siku ilipoondoka Apartheid policy!Mzuka Wanajamvi.
Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.
Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.
Je wataweza kulipunguza deni hili?
Watapeleka mashtaki THE HAGUE COURT kwamba deni sio la kweli lifutwe!Mzuka Wanajamvi.
Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.
Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.
Je wataweza kulipunguza deni hili?
Mimi naumia sana jikiona mataifa yanamadeni makubwa hivi na yameendelea sana huku sisi tukijisifu tunamadeni madogo na hatujaendelea kabisa.Mzuka Wanajamvi.
Deni la taifa la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dollars za kimarekani billion 300.
Inasikitisha sana taifi hili kubwa Africa kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.
Je wataweza kulipunguza deni hili?
Lakini kuna maendeleo Ajira za kumwaga utawala boraHata Marekani inadaiwa pia.
Hapa ndio wengi hatujui
Na mimi niliviona hivyo vibanda vyao vya mabati, ni balaa......familia za watu weusi zimeshonana humo.Economically South African is dying slowly and white minority are running away to invest somewhere else. It is just a matter of time that the country will be like Zimbabwe where you can not buy a loaf of bread. There some area in South Africa where residents live in shack houses (made by corrugated iron) with very poor sanitation infrastructure.
Na kuwa "Deni linahimilika."Ukihoji utaambiwa wanakopesheka.
Labda kwa Lugha rahisi kabisaMzuka Wanajamvi.
Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dola za kimarekani billion 300.
Inasikitisha sana Taifa hili kubwa Afrika kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc.
Je wataweza kulipunguza deni hili?
Kaka hizo ni zaidi ya Tsh.765 Trillions.(hivi bajeti ya Tanzania kwasasa ni Trillion ngapi Kwa Mwaka?!)Kwa taarifa ya msomaji bilionea Elon musk peke yake anautajiri wa Dollar billion 217(Bado billion 83 afikie sawa na deni la nchi ya south Africa 🤭😁Mzuka Wanajamvi.